Mnyuzi
Mnyuzi ni kata ya Wilaya ya Korogwe Vijijini katika Mkoa wa Tanga, Tanzania.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 5,822 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 19,174 waishio humo.
Msimbo wa posta ni 21609.
Mnyuzi ina vijiji vifuatayo: Shamba Kapori, Mkwakwani, Kwamzindawa, Mnyuzi na Lusanga.
Kata inapitiwa na mto Pangani.
Huko Hale kuna Maporomoko ya maji ya Pangani yanayotumiwa kwa kituo cha umememaji, sawa na kituo kikubwa kilomita 8 chini zaidi[2].
Marejeo
hariri- ↑ https://www.nbs.go.tz
- ↑ Pangani Hydro Systems Archived 24 Septemba 2015 at the Wayback Machine., Tovuti ya TANESCO, ilitazamiwa Mei 2016
Kata za Wilaya ya Korogwe Vijijini - Mkoa wa Tanga - Tanzania | ||
---|---|---|
Bungu | Chekelei | Dindira | Foroforo | Hale | Kalalani | Kerenge | Kizara | Kwagunda | Kwashemshi | Lewa | Lutindi | Magamba Kwalukonge | Magila Gereza | Magoma | Makumba | Makuyuni | Mashewa | Mazinde | Mgwashi | Mkalamo | Mkomazi | Mkumbara | Mlungui | Mnyuzi | Mombo | Mpale | Mswaha | Vugiri |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mnyuzi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |