Mohamed Said Mwikongi (amezaliwa 18 Aprili 1979) ni mwigizaji, mwongozaji na mtayarishaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Tanzania.

Anafahamika zaidi kwa jina la "Frank" aliloigiza katika tamthilia ya Tufani na baadhi ya filamu alizocheza. Mwikongi amepata kuonekana katika filamu ya Behind the Scene, Dear Mama, Sikitiko Langu, Dangerous Desire, Branch of Love na Hostel.

Maisha ya sanaa hariri

Anatoka katika kundi la sanaa la Kaole Sanaa Group.

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Mwikongi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.