Morris O'Brian

Morris O'Brian ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na Carlo Rota.

Morris O'Brian
muhusika wa 24
Morris O'Brian.jpg
Carlo Rota kama Morris O'Brian
Imechezwa na Carlo Rota
Idadi ya sehemu 28
Hali
Yu hai
Misimu
5, 6, 7
Maelezo
Ndoa Chloe O'Brian(Wameachana)

Kama jinsi inavyoonekana katika Siku ya 6 (kuanzia saa 11 jioni hadi saa saa kumi na mbili magharibi), Morris anaonekana anaweza kuongea na kusikia kidoogo lugha ya Kirusi.

Katika uhusikaEdit

Mwigizaji Carlo Rota alielezea maana ya Morris ni "utata".[1] Kiasili anatokea Uingereza, yeye ni mnyumbulishaji wa mitambo ya CTU, na mume mtengwa wa Bi. Chloe O'Brian, ingawa wawili hao walirudiana katika Msimu wa 6. Akiwa kama mcheshi, kipenzi cha watu, na ana amaarifa ya juu na mitambo ya CTU; lakini hupoteza muda kwa kujinywea pombe kidogo.

MarejeoEdit

  1. Is there a Chloe-Morris-Milo love triangle?. FOX. Iliwekwa mnamo 2008-08-17.

Viungo vya NjeEdit