24 (msimu wa 7)
Msimu wa Saba (pia unajulikana kama Siku ya 7) ya mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha 24. Ilianza kuonesha kwa mara ya kwanza mnamo tar. 13 Januari 2008, lakini ilikawia kwa mwaka mmoja - kwa kufuatia Mgomo wa Umoja wa Waandishi wa Marekani-2007.[1] Mnamo tar. 23 Novemba 2008, Fox wakarusha 24: Redemption, filamu ya TV ya masaa mawili iliyotolewa baina ya misimu miwili.[2] Msimu w Saba ulianza nchini Marekani ukiwa una-rushwa masaa manne kwa zaidi ya nyusiku mbili mfululizo, kufuatia muundo wa misimu mitatu awali, masaa mawili ya mwanzo yalirushwa mnamoi Jumapili, 11 Januari 2009, na saa la tatu na nne lilianza kurushwa mnamo siku ya Jumatatu, 12 Januari. Fox walirusha vipande vilivyosalia bila kujali hata usumbufu wa siku za Jumatau.[3][4] Sky1 walitoa onesho maalumu la masaa mawili mnamo tar. 12 Januari katika siku ya Jumatatu. Masaa mengine mawili yalirushwa Jumatatu iliyofuata, na kipengele kimoja katika kila Jumatatu iliyofuata, ina-maana ya kwamba Uingereza walikuwa nyuma wiki kwa Marekani. Iko tofauti sana na misimu mingine, DVD ya msimu huu ilitolewa sawa kabisa na baada ya msimu kwisha.
Msimu wa 7 wa 24 | |
---|---|
Season 7 Cast | |
Nchi asilia | Marekani |
Mtandao | Fox |
Iko hewani tangu | 11 Januari 2009 – 18 Mei 2009 |
Idadi ya sehemu | 24 |
Tarehe ya kutolewa DVD | 19 Mei 2009 (US) |
Msimu uliopita | Msimu wa 6 |
Msimu ujao | Msimu wa 8 |
Mstari wa hadithi unaaza na kuishia saa 8:00 asubuhi.
24: Redemption
haririFox walirusha filamu ya TV ya masaa mawili mnamo Jumapili, 23 Novemba 2008 ambalo na pengo baina ya misimu miwili.
Mstari wa hadithi unachukua siku ya uapisho wa Rais wa Marekani, Allison Taylor, na kipande kadhaa kimepigiwa nchini Afrika Kusini.[5] "[Jack] yu-zahamani na alikuwa akihama-hama kila mahali ili kujitafutia amani ya nafsi," alisema mtayarishaji msaidizi, Manny Coto. "Lakini aliishia huko nchini Sangala, nchi ya kufikirika huko Afrika, ambayo imepatwa na mapinduzi ya serikali." Akiwa Sangala, Bauer katumiwa barua ya kuitwa shaurini na Senati, lakini hakutaka kwenda.[6] Redemption uchukua takriban miaka 3 na miezi tisha (Januari 2015) baada ya Siku ya 6 na Siku ya 7 imechukua nafasi ya siku 65 (Machi 2015) baada ya Redemption.
Wahusika
haririHii ni orodha ya wahusika wakuu wa Msimu wa 7. Kwa orodha iliyokamili, tafadhali tazama hapa kwa orodha maridhawa.
Nyota
- Kiefer Sutherland kama Jack Bauer
- Mary Lynn Rajskub kama Chloe O'Brian
- Cherry Jones kama Rais Allison Taylor
- James Morrison kama Bill Buchanan
- Annie Wersching kama Renee Walker
- Colm Feore kama Mume wa Rais, Henry Taylor
- Bob Gunton kama Ethan Kanin
- Jeffrey Nordling kama Larry Moss
- Rhys Coiro kama Sean Hillinger
- Janeane Garofalo kama Janis Gold
- Carlos Bernard kama Tony Almeida
Wageni Maalumu
- Kurtwood Smith kama Senata Blaine Mayer
- Elisha Cuthbert kama Kim Bauer
Wageni Maalumu Walionekana
- Jon Voight kama Jonas Hodges
Wanaojirudia
- Frank John Hughes kama Secretary of Homeland Security Tim Woods]
- Sprague Grayden kama Olivia Taylor
- Glenn Morshower kama Aaron Pierce
- Hakeem Kae-Kazim kama Colonel Ike Dubaku
- Rory Cochrane kama Greg Seaton
- Warren Kole kama Brian Gedge
- Ryan Cutrona kama Admiral John Smith
- Isaach De Bankolé kama Ule Matobo
- Amy Price-Francis kama Cara Bowden
- Christina Chang kama Dr. Sunny Macer
- Ever Carradine kama Erika
- Carly Pope kama Samantha Roth
- Peter Wingfield kama David Emerson
- Will Patton kama Alan Wilson
- Eyal Podell kama Ryan Burnett
- Gabriel Casseus kama Robert Galvez
- Mark Kiely kama Edward Vossler
- Enuka Okuma kama Marika Donoso
- Carlo Rota kama Morris O'Brian
- Tony Todd kama General Benjamin Juma
Marejeo
hariri- ↑ "Fox: '24' on shelf until next January", CNN, 2008-02-14. Archived from the original on 2008-03-14.
- ↑ "Emmy and Golden Globe Winner 24 Gets a Jumpstart on the Clock with Special Two-Hour Prequel [[24: Redemption]] Sunday, November 23, on Fox". 2008-05-15. Iliwekwa mnamo 2008-05-16.
{{cite web}}
: URL–wikilink conflict (help) - ↑ "Fox Message Board: Q&A with Director Jon Cassar". Fox Broadcasting Company. 2008-10-17. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-02.
- ↑ Dahl, Oscar (3 Novemba 2008). "24: FOX Sets Schedule for Season 7 Premiere". BuddyTV.com. Seattle: BuddyTV. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-10. Iliwekwa mnamo 2009-01-12.
- ↑ Gary Levin (2008-05-14). "Fox's fall schedule sets up for '24' and 'Idol'". USA Today. Iliwekwa mnamo 2008-05-07.
- ↑ "'Rookie' Webisodes provide fix for '24' fans", CNN, 2008-04-29. Retrieved on 2008-05-07.
Viungo vya Nje
hariri- Official 24 website Ilihifadhiwa 7 Machi 2009 kwenye Wayback Machine.