Mozotcori
Dayosisi ya Mozotcori (kwa Kilatini: Dioecesis Mozotcoritana [1]) ni jimbo jina la Kanisa Katoliki.
Historia
haririMakao ya askofu wa Mozotcori bado hayajulikani yalikuwa sehemu gani lakini yalikuwa mahali fulani ambako leo ni nchi ya Tunisia. [2] Maaskofu wa kale walikuwa katika mkoa wa Kirumi wa Byzacena, [3] [4] na inajulikana tangu zamani za kale.
Askofu pekee anayejulikana wa dayosisi hii ni Fortunato, ambaye alishiriki katika Mtaguso wa Karthago (484) ulioitishwa na mfalme wa Wavandali Huneriki, baada ya hapo askofu huyo alihamishwa.
Leo Mozotcori ni jimbo jina tu [5] na askofu wake alikuwa Mtanzania Eusebius Alfred Nzigilwa, alipokuwa askofu msaidizi wa Dar es Salaam. [6]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mozotcori kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |