Mseke ni kata ya Wilaya ya Iringa Vijijini katika Mkoa wa Iringa, Tanzania, yenye Postikodi namba 51204.

Kata ya Mseke
Nchi Tanzania
Mkoa Iringa
Wilaya Iringa Vijijini
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 14,131

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 14,131 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 15,868 waishio humo.[2]

Mseke ina vijiji vya Tanangozi, Wenda, Sadani, Ugwachanya, Makota na Kaning'ombe. Huko Ugwachanya kuna eneo la kihistoria la Isimila penye mabaki mengi ya karahana za kutengeneza zana za mawe wakati wa Zama za Mawe.

Marejeo

hariri
  Kata za Wilaya ya Iringa Vijijini - Tanzania  

Idodi | Ifunda | Ilolompya | Itunundu | Izazi | Kalenga | Kihanga | Kihorogota | Kising'a | Kiwere | Luhota | Lumuli | Lyamgungwe | Maboga | Magulilwa | Mahuninga | Malengamakali | Masaka | Mboliboli | Mgama | Migoli | Mlenge | Mlowa | Mseke | Nyang'oro | Nzihi | Ulanda | Wasa


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mseke kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.