Mto Adige
Mto Adige ni wa pili nchini Italia, ukiwa na urefu wa kilomita 410.
Unapita kaskazini mwa Italia kuanzia chanzo chake katika milima ya Alpi hadi mdomo wake kwenye bahari ya Adria.
Beseni lake huwa na eneo la km² 12,200.
Unapitia mikoa miwili: Trentino-Alto Adige na Veneto.
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Adige kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |