Mto Base ni jina la miwili kati ya mito inayopatikana nchini Rwanda, mmoja ukiwa katika mkoa wa Kaskazini na mwingine katika mkoa wa Kusini.

Ni matawimto ya mto Nyawarongo ambao hutiririsha maji yake hadi kuingia katika ziwa Viktoria, mto Naili na hatimaye Bahari ya Kati.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Base kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.