Mto Birha
33°23′00″S 27°19′33″E / 33.38333°S 27.32583°E
Mto Birha ni mto mdogo ambao umetoka sehemu ya kaskazini mwa Eleqolweni, Eastern Cape, Afrika Kusini.
Chanzo cha mto huu ni eneo linaloitwa Begha (kati ya Port Alfred na East London).
Mnamo 1858 meli ya mvuke Madagascar ya Rennie line[1] ilipotea baada ya kugonga matumbawe karibu na chanzo cha mto Birha, majira ya usiku mnano tarehe 3 Desemba. Majaribio kadhaa yalifanyika kuiokoa meli isizame, hata hivyo yalishindikana na kupelekea meli hiyo kuvunjika mnamo tarehe 4 Desemba. Hakuna aliyepoteza uhai.[2][3]
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Madagascar. Scottish Built Ships. Retrieved 6 May 2019.
- ↑ "Rennie's Steamer Service: Natal and Cape Colonies", R. N. Porter, The South African Philatelist, Vol. 90, No. 6 (December 2014), Whole No. 927, pp. 178-182.
- ↑ "Loss of the Steamer Madagascar", The Hobart Town Daily Mercury, 3 February 1859, p. 2. Retrieved from Trove, 6 May 2019.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Birha kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |