Mto Karanga (Kilimanjaro)
Mto Karanga (Kilimanjaro) ni kati ya mito ya mkoa wa Kilimanjaro (Tanzania Kaskazini Mashariki).
Una vyanzo viwili kwenye mlima Kilimanjaro, unapita karibu na Kibosho na kuishia katika bwawa la Nyumba ya Mungu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Karanga (Kilimanjaro) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |