Mto Kobara unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia (Jimbo la Oromia).

Ramani ya beseni la mto Sobat.

Ni tawimto la mto Dipa, ambalo ni tawimto la mto Birbir, unaochangia mto Baro ambao kwa kuungana na mto Pibor unaunda mto Sobat, tawimto la Nile Nyeupe.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri