Jimbo la Oromia

Jimbo la Oromia (kwa Kioromo: Oromiyaa) ni moja ya majimbo 12 ya kujitawala ya Ethiopia.

Oromiyaa
Jimbo la Oromia

Bendera
Mahali pa jimbo la Oromia katika Ethiopia
Mahali pa jimbo la Oromia katika Ethiopia
Nchi Bendera ya Ethiopia Ethiopia
Mji mkuu Adama
Eneo
 - Jimbo 353,362 km²
Idadi ya wakazi (2007)
 - 27,158,471
Kilimo

Idadi ya wakazi wake ni takriban 27,158,471, hivyo linaongoza nchini kwa ukubwa wa eneo na kwa idadi ya watu.

Makao makuu ni Adama.

Tazama piaEdit


 
Majimbo ya Ethiopia
 
Addis Abeba | Afar | Amhara | Benishangul-Gumuz | Dire Dawa | Gambela | Harar | Oromia | Sidama | Somali | Mataifa ya Kusini | Tigray
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Oromia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.