URLtunda.co.tz
Biashara?Ndio
Aina ya tovutiAplikesheni ya Simu
Lugha zilizopoSwahili
MmilikiZeno Limited
SasaActive

Tunda Shopping ni aplikesheni ya kuimarisha tabia chanya za matumizi ya kifedha kwa vijana wa Kitanzania kupitia teknolojia ya simu za mkononi. Ilianzishwa mwaka 2023 na makao makuu yake yapo Dar es Salaam, Tanzania.

Historia

hariri

Tunda Shopping ilianzishwa mnamo 2023 na Dastani Ferdinandi[1]. Hapo awali ilifanya kazi kama muuzaji wa bidhaa mtandaoni kwa Dar es Salaam tu na ilizingatia zaidi vifaa vya kieletroniki na vyombo vya nyumbani, lakini ikapanua wigo wake kwa Tanzania nzima mnamo 2024 na hatua kwa hatua ikapanua wigo wake wa aina nyingine za bidhaa na huduma.

Hivi sasa watumiaji wa Tunda Shopping wanapata bidhaa na huduma kutoka kwa wafanyabiashara kuanzia vifaa vya nyumbani, safari, runinga, mashine za kufulia, friji, simu za mkononi, kompyuta na nyinginezo zinazowapa watumiaji njia rahisi ya kulipia huduma na bidhaa na kufuatilia matumizi yao.[2]

Aina za huduma

hariri

Inawezesha malipo ya bidhaa na huduma kwa kiwango kidogo cha pesa kwa kasi ya mtumiaji mwenyewe moja kwa moja kutoka kwenye simu yake.[3]

Inawapa watumiaji uwezo wa kufuatilia kila pesa wanayoweka kando kwa lengo maalum kwa wakati halisi, kwa mfano kununua TV mpya, au simu ya hivi karibuni au kusafiri kwenda Zanzibar).[4]

Soko la Tunda Shopping

hariri

Soko la bidhaa na huduma la Tunda Shopping linaruhusu wafanyabiashara nchini Tanzania kuuza bidhaa zao mtandaoni. Watumiaji wa Tunzaa wanapata bidhaa na huduma kutoka kwa wafanyabiashara kuanzia vifaa vya nyumbani, safari, runinga, mashine za kufulia, friji, simu za mkononi, kompyuta na nyinginezo zinazowapa watumiaji njia rahisi ya kulipia huduma na bidhaa na kufuatilia matumizi yao.

Marejeo

hariri
  1. "Pioneering Tech Solutions: The Journey of Tanzanian Dastani Ferdinandi and Zeno Limited". thefounder.africa (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-11.
  2. "Tunda Shopping App : The Future of Online Shopping in Tanzania". Medium (kwa American English). 2024-04-01. Iliwekwa mnamo 2024-04-01.
  3. "UTV Tanzania - KIVULI | Safari ya kijana Mtanzania mbobezi wa kuunda program tumizi za simu". UTV. Iliwekwa mnamo 2024-04-07.
  4. Dastani Ferdinandi TZA. "tunda Shopping: Two Months, One Success Story — Revolutionizing E-Commerce in Tanzania". linkedin.com (kwa American English).

Viungo vya nje

hariri