Murano ni visiwa vilivyounganishwa na madaraja katika Lagoon ya Venezia, kaskazini mwa Italia.

Murano,Venezia

Iko karibu kilomita 1.5 (maili 0.9) kaskazini mwa Venice na ina urefu wa kilomita 1.5 (mi 0.9) na idadi ya wakazi zaidi ya 5,000 (takwimu za 2004).

Ni maarufu kwa utengenezaji wa vioo. Ilikuwa komunijiji huru, lakini sasa ni sehemu ya mji wa Venice.

Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Murano kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.