Muredak
Muredak (pia: Muiredach, Murtagh mac Echdach; alifariki 12 Agosti 590 hivi) alikuwa askofu wa kwanza wa Killala, Ireland [1][2].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Leo XIII tarehe 19 Juni 1902[3].
Tanbihi
hariri- ↑ Healy, John. "Killala." The Catholic Encyclopedia. Vol. 8. New York: Robert Appleton Company, 1910. 21 Mar. 2013
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/65930
- ↑ Index ac status causarum (1999), pp. 404 e 597.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
hariri- Congregatio de Causis Sanctorum, Index ac status causarum, Città del Vaticano 1999.
- Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |