Mgomba (mmea)

(Elekezwa kutoka Musa (jenasi))
Mgomba
(Musa spp.)
Mgomba unaozaa ndizi
Mgomba unaozaa ndizi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja tu)
(bila tabaka): Commelinids (Mimea kama kongwe)
Oda: Zingiberales (Mimea kama mtangawizi)
Familia: Musaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mgomba)
Jenasi: Musa (Migomba)
L.
Spishi: M. acuminata Colla

M. balbisiana Colla
M. maclayi F.Muell. ex Mikl.-Maclay
M. itinerans Cheesman
M. sikkimensis Kurz
M. velutina H.Wendl. & Drude

Migomba ni mimea mikubwa sana (mara nyingi huitwa miti lakini si miti kweli) ya jenasi Musa katika familia Musaceae inayozaa ndizi.

Nchini Tanzania kilimo cha migomba, ambacho vile vile huitwa kilimo cha ndizi, hulimwa katika mikoa kama vile mkoa wa Kilimanjaro, mkoa wa Kagera, mkoa wa Mbeya na mkoa wa Morogoro[1].

  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mgomba (mmea) kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. https://www.kilimo.go.tz/uploads/Kilimo_bora_cha_Migomba.pdf