Wilaya ya Mwanga

Kwa matumizi mengine ya jina hili tazama hapa

Wilaya ya Mwanga ni wilaya moja ya Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 131,442. [1]

Mahali pa Mwanga (kijani) katika mkoa wa Kilimanjaro.

MarejeoEdit

  1. Sensa ya 2012, Kilimanjaro - Mwanga DC[dead link]
  Kata za Wilaya ya Mwanga - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania  

Chomvu | Jipe | Kifula | Kighare | Kigonigoni | Kileo | Kilomeni | Kirongwe | Kirya | Kivisini | Kwakoa | Lang'ata | Lembeni | Mgagao | Msangeni | Mwanga | Mwaniko | Ngujini | Shighatini | Toloha


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mwanga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Isipokuwa usitaje majina ya viongozi waliopo sasa maana wanabadilika haraka mno.