Nanyala ni kata ya Wilaya ya Mbozi katika Mkoa wa Songwe, Tanzania. Msimbo wa posta ni 53315.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 10,492 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,914 [2] walioishi humo.

Karibu na Nanyala visukuku vimegunduliwa katika matabaka ya miamba ya jiwe mchanga. Wataalamu Wamarekani walitambua visukuku vya aina ya ndezi vyenye umri wa miaka milioni 24.95 aliyepewa jina la "Kahawamys Mbeyaensis"[3]

Marejeo hariri

  1. https://www.nbs.go.tz, uk 234
  2. "Sensa ya 2012, Mbeya - Mbozi DC". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2017-03-13. 
  3. Kahawamys Mbeyaensis (N. Gen., N. Sp.) (Rodentia: Thryonomyoidea) from the late oligocene Rukwa Rift Basin, Tanzania; Nancy J. Stevens,Patricia A. Holroyd, Eric M. Roberts, Patrick M. O’Connor, and Michael D. Gottfried, katika Journal of Vertebrate Paleontology 29(2):631–634, June 2009
  Kata za Wilaya ya Mbozi - Mkoa wa Songwe - Tanzania  

Bara | Halungu | Hasamba | Hasanga | Hezya | Ichenjezya | Idiwili | Igamba | Ihanda | Ilolo | Ipunga | Isalalo | Isansa | Itaka | Itumpi | Iyula | Kilimampimbi | Magamba | Mahenje | Mlangali | Mlowo | Msia | Nambinzo | Nanyala | Nyimbili | Ruanda | Shiwinga | Ukwile | Vwawa


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Songwe bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nanyala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .
Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno