Nathaniel Mtui alikuwa mwanahistoria wa Tanzania mwenye asili ya Kichaga.

Alizaliwa mnamo mwaka 1892 katika mtaa wa Mshiri huko Marangu, mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania. Alikuwa mwalimu kipindi cha utawala wa kikoloni wa Wajerumani huko Marangu.

Amejulikana kama mtu wa kwanza kuandika kuhusu historia ya Wachaga kwa lugha ya Kiswahili, Kijerumani na Kichaga.[1]

Marejeo

hariri
  1. Stahl, Kathleen Mary (1964). History of the Chagga people of Kilimanjaro. Mouton.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nathaniel Mtui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.