Neema Emanuel Sule

Neema Emanuel Sule (alizaliwa 18 Juni 1994)[1] ni mwanamke mwanariadha wa Tanzania[2] ambaye alishiriki michezo ya Olimpiki ya vijana ya mwaka 2010 katika mbio ya kilomita 15 akitumia muda wa dakika 55 na sekunde 14 na ya kilomita 3 akitumia dakika 10 na sekunde 22.[3][4]

Marejeo hariri

  1. "Neema Emanuel SULE | Profile | World Athletics". worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2022-11-24. 
  2. https://olympics.com/en/athletes/neema-emanuel-sule
  3. "Neema Emanuel SULE | Profile | World Athletics". worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2022-11-24. 
  4. "Neema Emanuel Sule of Tanzania competes in the Girls 3000 metre B...". Getty Images (kwa en-us). Iliwekwa mnamo 2022-11-24. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Neema Emanuel Sule kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.