Negrophilia [1] (kutokana na neno la Kifaransa négrophilie linalomaanisha upendo wa mtu mweusi) lilikuwa neno ambalo wasanii wa avant-garde walilitumia miongoni mwao kuelezea shauku yao katika utamaduni wa watu weusi.

Josephine Baker akicheza Charleston kwenye ukumbi wa Folies Bergère, Paris, mwaka 1926.

Asili yake iliambatana na harakati za sanaa kama vile Surrealism na Dadaism mwishoni mwa karne ya 19.

Marejeo

hariri
  1. Petrine., Archer-Shaw (2000). Negrophilia : avant-garde Paris and black culture in the 1920s. Thames & Hudson. ISBN 0-500-28135-1. OCLC 906987006.
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Negrophilia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.