Ngogwe ni manispaa katika Wilaya ya Buikwe katika Mkoa wa Kati huko Uganda.

Mahali pa Ngogwe katika ramani ya Uganda kama inavyonekana kwa majiranukta00°14′34″N 32°59′26″E / 0.24278°N 32.99056°E / 0.24278; 32.99056

Mahali

hariri

Ngogwe ipo takribani 18.5 kilomita (maili 11.5) kusini mwa Buikwe, eneo la makao makuu ya wilaya.[1]

Marejeo

hariri
  1. GFC (20 Julai 2015). "Road Distance Between Buikwe And Ngogwe With Map". Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 20 Julai 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)