Ngozi Ezeocha (alizaliwa 12 Oktoba 1973) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambaye alicheza kama beki wa timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria. Alishiriki na timu hiyo katika Kombe la Dunia la FIFA la wanawake la mwaka 1991 na Kombe la Dunia la FIFA ya 1995. [1]

Ngozi Ezeocha
Amezaliwa 10 Oktoba 1973
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake mchezaji wa mpira wa miguu

Marejeo hariri

  1. "FIFA Women's World Cup Sweden 1995 - Teams". FIFA Women's World Cup Sweden 1995. FIFA. 1995. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-24. Iliwekwa mnamo 2007-09-28.  More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ngozi Ezeocha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.