Niklas Süle (alizaliwa 3 Septemba, 1995) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama beki wa kati wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani.

Sule akiwa mazoezini.

Sule alianza kazi yake na Rot-Weiß Walldorf ya Ujerumani. Mnamo 11 Mei 2013, Süle alihamia klabu ya Hoffenheim. Mwaka mmoja baadae Süle alipata nafasi katika klabu ya Bayern Munich, ameisaidia sana timu yake kushinda ligi ya ujerumani mara tatu mfululizo.


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Niklas Süle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.