Ninian Mtakatifu

Ninian (pia: Ringan au Trynnian; 360-432) alikuwa askofu aliyefanya umisionari kati ya Wapikti wa Uskoti wa leo[1].

Mt. Ninian kama mbombezi ("Ora pro nobis, Sancte Niniane").

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Septemba[2].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Todd, James Henthorn (1863), "The Epistle on Coroticus", St. Patrick, Apostle of Ireland, Dublin: Hodges, Smith, & Co. (published 1864), p. 384 
  2. Martyrologium Romanum

MarejeoEdit

Viungo ya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ninian Mtakatifu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.