Nores (mwanamuziki)

Mwanamuziki wa Morroco

Dourouf El Guaddar (alizaliwa Salé, Moroko, 16 Aprili, 1979[1]) anajulikana kwa jina la sanaa kama Nores, ni rapa wa Moroko na mtayarishaji wa muziki. [2]

Nores aliingia kwenye Hip Hop katikati mwa 1995. Mnamo 1997, alianzisha pamoja na waimbaji kundi la rap la Siouf El Borj ambalo lilikuwa na mafanikio ya awali hadi hapo washiriki wake walipotengana mwaka 1999. Mnamo 2006, alitoa pamoja albamu na DBF, DJ VAN, na Thug Face yenye jina la Mgharba 'Tal Moute . Alitayarisha wasanii wengine wengi wa hip hop nchini Morocco wakiwemo kama vile Fatiwizz, Majesticon, Loubna, Tar, Sator na Rabat Crew. Mnamo 2007, alitoa albamu yake ya kwanza "Bit Ennar" iliyokuwa na nyimbo 17. [3] [4]

Marejeo

hariri
  1. Medi1TV Morocco. "Then GEN10 Program". Medi1TV Morocco. Iliwekwa mnamo 11 Septemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: numeric names: authors list (link)
  2. Nores Prod. "Bio—Nores Production Officiel". Nores Prod Official Wesbsite. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-04. Iliwekwa mnamo 11 Septemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Le Matin Editorial (12 Agosti 2007). "Le rappeur Nores achève son premier album". Journal Le Matin Maroc. Iliwekwa mnamo 11 Septemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "BIOGRAPHIE - Nores" (kwa French). RAP04 La Communauté du Hip Hop. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-21. Iliwekwa mnamo 20 Septemba 2021. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nores (mwanamuziki) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.