Nueva Esparta ni mojawapo kati ya majimbo 23 yanayounda Venezuela; peke yake ni la visiwani.

Pwani "Playa el Agua", kisiwa cha Margarita.

Liko katika bahari ya Karibi, katika visiwa vya Margarita, Coche na Cubagua. Jumla ni kilometa mraba 1,150.

Wakazi ni 491,610, wengi wakiongea Kihispania na kufuata Ukristo katika Kanisa Katoliki.

Makao makuu yako La Asunción, lakini mji mkubwa zaidi ni Porlamar.

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nueva Esparta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.