Nyansiongo (Nsunera) ni mji wa Kenya katika Kaunti ya Nyamira, kilometa chache kutoka Kisii. Ni mji ambao hapo zamani walikuwa wakiishi wakoloni.

Mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 45,313[1].

Nyansiongo ni kata ya Eneo bunge la Borabu[2].

Tanbihi

hariri
  1. Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.
  2. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine