Odorico D'Andrea
José D'Andrea Valeri, O.F.M. (Montorio al Vomano, Italia, 5 Machi 1916 - Matagalpa, Nicaragua, 22 Machi 1990) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki mwenye asili ya Italia. Alianzisha shirika la "Hermanas Franciscanas Pelegrinas del Corazon Inmaculado de Maria" pamoja na Padre Francisco Javier Munguía Alvarado, ambaye pia alikuwa Mfransisko.
Alikuwa mmisionari wa Shirika la Ndugu Wadogo wa Mtakatifu Fransisko (Ordo Fratrum Minorum) na alijitolea kwenye misheni katika jamii za Jiji la San Rafael del Norte, mkoa wa Jinotega, Nikaragua.
Anajulikana kama Mtumishi wa Mungu.[1]
Marejeo
hariri- ↑ He is presently in process of beatification for the numerous deeds that bear witness to his love of God and sanctity.
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Sitio Oficial del Padre Odorico Ilihifadhiwa 26 Mei 2023 kwenye Wayback Machine.
- Odorico D' Andrea en Facebook
- Fervor y destrezas en el vía crucis del Tepeyac
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |