New York (jimbo)
New York ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko kwenye pwani la kaskazini-mashariki ya nchi ikipakana na majimbo ya Pennsylvania, Vermont, Massachusetts, Connecticut na New Jersey halafu nchi jirani ya Kanada.
New York | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Albany | ||
Eneo | |||
- Jumla | 141,299 km² | ||
- Kavu | 122,238 km² | ||
- Maji | 19,016 km² | ||
Tovuti: http://www.ny.gov/ |
Mji mkuu ni Albany lakini mji mkubwa ni New York.
Jimbo lina wakazi 19,254,630 kwenye eneo la 141,205 km².
Mto mkubwa ni Mto Hudson.
Ilikuwa moja ya koloni 13 asilia za Uingereza zilizoasi dhidi ya nchi mama tangu mwaka 1776 na kuanzisha Maungano ya Madola ya Amerika.
Marejeo
haririNew York census data kutoka Factfinder.census.gov Archived 2020-02-12 at Archive.today
Majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya New York bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu New York (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |