Optasiani (alifariki karne ya 5) anakumbukwa kama askofu wa kumi na tatu wa Brescia (Italia Kaskazini).

Mwaka 451 alisaini barua za sinodi ya Lombardia zilizotumwa na Eusebi wa Milano kwa Papa Leo I ili kukiri imani sahihi kuhusu Umwilisho dhidi ya uzushi [1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Julai.[2]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/62510
  2. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.