Oratorio
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Oratorio ni jina la:
- Oratorio - jengo dogo kwa ajili ya sala na ibada ya familia au jumuia fulani.
- Oratorio - jengo la Kanisa Katoliki kwa ajili ya malezi ya vijana hasa wa mjini.
- Oratorio - jina la mashirika kadhaa ya maisha ya kitume.
- Oratorio - tungo la muziki wa kidini.
- Oratorio - bendi christian metal ya Ufini
- Oratorio - kijiji cha Guatemala