Orodha ya Vyuo Vikuu nchini Uganda
Hii ni orodha ya vyuo vikuu nchini Uganda.
Vyuo vya umma
hariri- 1. Chuo Kikuu cha Busitema (BSU), Busitema, Wilaya ya Busia, 2007
- 2. Chuo Kikuu cha Gulu (Gu), Gulu, 2002
- 3. Chuo Kikuu cha Kyambogo (KYU), Kyambogo, Kampala, 2002
- 4. Chuo Kikuu cha Makerere (MUK), Makerere, Kampala, 1922
- 5. Chuo Kikuu cha Mbarara cha sayansi na Teknolojia (MUST), Mbarara, 1989
Vyuo vya binafsi
hariri- 6. African Bible College (Uganda) (ABC), Wilaya ya Wakiso, 2005
- 7. Chuo Kikuu cha Aga Khan, Kampala, 2001
- 8. All Saints University (ASU), Lira, 2008
- 9. Ankole Western University (AWU), Kabwohe, 2005
- 10. Chuo Kikuu cha Askofu Stuart (BSU), Mbarara, 2003
- 11. Chuo Kikuu cha Bugema (BU), Wilaya ya Luweero, 1997
- 12. Chuo Kikuu cha Busoga (BGU), Iganga, 1999
- 13. Fairland University (MAFUA), Jinja, 2001
- 40. Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Sayansi ya Afya (IHSU), Kampala, 2008
- 15. Chuo Kikuu cha Kiislamu nchini Uganda (IUIU), Mbale, 1988
- 16. Chuo Kikuu cha Kabale (KABU), Kabale, 2001
- 17. Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU), Kampala, 2001
- 41. Chuo Kikuu cha Kampala (KU), Kampala, 2005
- 19. Chuo Kikuu cha Kumi (KUMU), Kumi, 1999
- 20. Chuo Kikuu cha Lugazi (LU), Mukono, 2007
- 21. Muteesa I Royal University (MRU), Masaka, 2007
- 22. Milima ya Mwezi University (MMU), Fort Portal, 2005
- 23. Chuo Kikuu cha Ndejje (NDU), Luweero, 1992
- 24. Chuo Kikuu cha Nkumba University (NU), Entebbe, 1999
- 25. St Lawrence University (Uganda) (SLAU), Kampala, 2006
- 26. Uganda Christian University (UCU), Mukono, 1997
- 27. Uganda Martyrs University (UMU) Nkozi, Wilaya ya Mpigi, 1993
- 28. Uganda Pentecostal University (UPU), Fort Portal, 2005
Taasisi zisizo Vyuo Vikuu zinazotoa shahada ya digrii
haririTazama pia
haririMarejeo
haririViungo vya nje
hariri- http://www.enteruganda.com/brochures/uniguidehome.html Archived 16 Februari 2010 at the Wayback Machine.
- http://www.unesco.org/iau/onlinedatabases/list_data/u-nw.html # Uganda
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Orodha ya Vyuo Vikuu nchini Uganda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |