Orodha ya Wafalme wa Eswatini
(Elekezwa kutoka Orodha ya Wafalme wa Uswazi)
Orodha ifuatayo inataja wafalme wa Eswatini katika vipindi vitatu. Cha kwanza ni kabla ya mwaka 1780 ambapo hakuna uhakika wa miaka, cha pili ni kuanzia 1780 hadi 1968, cha tatu ni kuanzia 1968 hadi sasa.
Wafalme wa Eswatini (kabla ya 1780)
haririWafalme wa Eswatini (1780-1968)
hariri- Ngwane III: 17...-1780
- Malkia Ndwandwe (mtawala): 1780
- Ngvudgunye (Zikodze): 1780-1815
- Malkia Mndzebele (mtawala): 1815
- Sobhuza I (Ngwane IV): 1815-1836
- Malkia Lojiba Simelane (mtawala): 1836-1840
- Mswati II: 1840 - Julai 1868
- Malkia Tsandzile Ndwandwe (mtawala): Julai 1868 - Juni 1875
- Ludvonga II (Macaleni): mwana mfalme tu, alifariki kabla ya kukabidhiwa ufalme
- Mbandzeni (Dlamini IV): Juni 1875 - 7 Oktoba 1889
- Malkia Tibati Nkambule (mtawala): 7 Oktoba 1889 - 1894
- Ngwane V: Februari 1895 - 10 Desemba 1899
- Malkia Labotsibeni Gwamile Mdluli (mtawala): 10 Desemba 1899 - 22 Desemba 1921
- Sobhuza II: 22 Desemba 1921 - 2 Septemba 1968
Wafalme wa Eswatini (1968-Present)
hariri- Sobhuza II: 2 Septemba 1968 - 21 Agosti 1982
- Malkia Dzeliwe (mtawala): 21 Agosti 1982 - 9 Agosti 1983
- Mwana Mfalme Sozisa Dlamini ("Mteule Idhinishwa"): 9 Agosti 1983 - 18 Agosti 1983
- Malkia Ntombi (mtawala): 18 Agosti 1983 - 25 Aprili 1986
- Mswati III: 25 Aprili 1986 - Sasa
Viungo vya Nje
hariri- Watawala wa Uswazi
- Nasaba ya Wafalme wa Uswazi
- Historia ya Uswazi Ilihifadhiwa 16 Desemba 2004 kwenye Wayback Machine.
- Wafalme wa Uswazi Ilihifadhiwa 18 Novemba 2008 kwenye Wayback Machine.