Orodha ya lugha za Uturuki
Orodha hii inaorodhesha lugha za Uturuki:
- Kiabaza
- Kiabkhazi
- Kiadyghe
- Kialbania cha Gheg
- Kialbania cha Tosk
- Kiarabu Simulizi cha Mesopotamia
- Kiarabu Simulizi cha Mesopotamia Kaskazini
- Kiarmenia
- Kiazeri-Kusini
- Kibulgaria
- Kidomari
- Kigeorgia
- Kigiriki
- Kihertevin
- Kikabardia
- Kikazakh
- Kikumyk
- Kikurdi-Kaskazini
- Kikyrgyz
- Kiladino
- Kilaz
- Kipontiki
- Kiromani cha Balkan
- Kiserbia
- Kisyriaki
- Kitatar
- Kitatar cha Krimea
- Kituruki
- Kituruki cha Balkan Gagauz
- Kiturkmen
- Kituroyo
- Kiubykh
- Kiuyghur
- Kiuzbeki-Kusini
- Kizazaki-Kaskazini
- Kizazaki-Kusini
Kulingana na Mkataba wa Lausanne, lugha za wachache zinazotambuliwa rasmi ni Kiarmenia, Kigiriki na Kiebrania.[1]
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Bayır, Derya (2016). Minorities and nationalism in Turkish law. Cultural diversity and law. London: Routledge. ISBN 978-1-315-59551-1.
Oran farther points out that the rights set out for the four categories are stated to be the 'fundamental law' of the land, so that no legislation or official action shall conflict or interfere with these stipulations or prevail over them (article 37). [...] According to the Turkish state, only Greek, Armenian and Jewish non-Muslims were granted minority protection by the Lausanne Treaty. [...] Except for non-Muslim populations - that is, Greeks, Jews and Armenians - none of the other minority groups' language rights have been de jure protected by the legal system in Turkey.