Oronsi, Vinsenti na Vikta

Oronsi, Vinsenti na Vikta (walifariki Puigcerda, Catalonia, Hispania, 304 hivi) ni kati ya Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani ya walioieneza kwa bidii katika dhuluma ya kaisari Diokletian[1][2].

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 22 Januari.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. http://catholicsaints.info/book-of-saints-vincent-orontius-and-victor
  2. Albert, Antoine (1783). Histoire Géographique, Naturelle, Écclésiastique Et Civile Du Diocese D'Embrun. Juz. la Tome I. uk. 53.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.