Ottilie Assing

Mwanaharakati wa haki za wanawake, mfikiriaji huru na mtokomezaji (1819- 1884)

Ottilie Davida Assing (11 Februari 181921 Agosti 1884) alikuwa Mmarekani mwenye asili ya Kijerumani mnamo karne ya 19.

Ottilie Assing
Amezaliwa11 Februari 1819
UtaifaAmerican, German

Alizaliwa huko Hamburg, alikuwa binti mkubwa wa mshairi Rosa Maria Assing, aliyelelewa kama Mlutheri, na David Assing, daktari mashuhuri katika fani yake aliyekuwa Myahudi, ambaye alibadili dini kuwa Mkristo baada ya kufunga ndoa na kubadili jina lake kuwa Assing.[1]

Mama yake alikuwa rafiki na wanawake wengine wa fasihi, akiwemo Clara Mundt na Fanny Lewald.[2]

Marejeo hariri

  1. "LOVE ACROSS COLOR LINES." Diedrich, Maria. HILL and WANG: 1999. Accessed January 11, 2017.
  2. "Fatal Attraction". nytimes.com. The New York Times Company. Iliwekwa mnamo 19 February 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ottilie Assing kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.