Eujendo wa Condat

(Elekezwa kutoka Oyand wa Condat)

Eujendo wa Condat (kwa Kilatini: Eugendus au Augendus; kwa Kifaransa: Oyand au Oyan; 449 - 1 Januari 510) alikuwa mmonaki kutoka Ufaransa aliyepata kuwa abati wa Condat na kustawisha maisha ya kitawa [1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Januari[2], lakini pia 4 Januari.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Martyrologium Romanum
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo

hariri
  • Burns, Paul. Butler's Lives of the Saints: New Full Edition. Collegeville, MN:The Liturgical Press, 1995. ISBN|0-8146-2377-8.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.