Paka-mchanga
Paka-mchanga (Felis margarita)
Paka-mchanga (Felis margarita)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Feliformia (Wanyama kama paka)
Familia: Felidae (Wanyama walio na mnasaba na paka)
Nusufamilia: Felinae (Wanyama wanaofanana na paka)
Jenasi: Felis
Linnaeus, 1758
Spishi: F. margarita
Loche, 1858
Ngazi za chini

Nususpishi 6:

Msambao wa paka-mchanga
Msambao wa paka-mchanga

Paka-mchanga (Felis margarita) ni mnyama mbuai wa nusufamilia Felinae katika familia Felidae. Spishi hii inatokea majangwa ya Afrika ya Kaskazini, Uarabuni, Uajemi na Pakistani[1].

Nususpishi

hariri

Pengine F. m. thinobia inakadirika kama spishi tofauti.

References

hariri
  1. Wozencraft, W. Christopher (2005). "Order Carnivora (pp. 532-628)". In Wilson, Don E., and Reeder, DeeAnn M., eds. Mammal Species of the World: A Taxonomic and Geographic Reference (3rd ed.). Baltimore: Johns Hopkins University Press, 2 vols. (2142 pp.). pp. 536. ISBN 978-0-8018-8221-0. OCLC 62265494

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paka-mchanga kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.