Panna Rittikrai

(Elekezwa kutoka Panna Ritikrai)

Panna Rittikrai (Februari 17, 1961 – Julai 20, 2014) alikuwa mwigizaji wa filamu, mtendaji martial arts, mwanakoreografia, mwongozaji wa filamu, na mwandishi wa miswada ya filamu kutoka nchini Thailand. Huyu ndiye kiongozi wa timu nzima ya mastanti wa Muay Thai Stunt. Anafahamika zaidi kwa kazi zake za kimartial arts na ukoreografia wa kwenye filamu ya mwaka wa 2003 Ong-Bak: Muay Thai Warrior na 2005 Tom-Yum-Goong (kule Marekani inajulikana kama The Protector), ambayo ilichezwa na Tony Jaa, ambaye Panna ndiye aliyemshauri aingie kwenye filamu na kumsimamia.

Panna Rittikrai

Mwigizaji/mchekeshaji Petchtai Wongkamlao (kushoto), na mwongozaji Panna Rittikrai wakiuzuria sherehe za waandishi wa habari kwa ajili ya kuitangaza filamu ya Tom-Yum-Goong mnamo tar. 4 Agosti 2005 katika Major Cineplex Ratchayothin mjini Bangkok.
Amezaliwa Khon Kaen, Thailand
Kazi yake Martial arts - mkoreografia,
mwongozaji wa filamu, mwandikaji skrini

Kifo chake kilisabaishwa na ini kushindwa kufanya kazi. Baadaye alikuja kugundulika kama alikuwa na uvimbe katika ubongo.

Wasifu

hariri

Filamu za awali

hariri

Kupata umaarufu wa kimataifa

hariri

Sehemu ya filmografia yake

hariri

Mwongozaji

hariri
  • Kerd ma lui (1979)
  • Nuk leng klong yao (2001)
  • Kon dib lhek nam pee (2001)
  • Kerd ma lui (Born to Fight) (2004)

Martial arts na mkoreografia

hariri
  • The Legend of Suriyothai (2001) (kama Panna Ritthikrai)
  • Ong-Bak: Muay Thai Warrior (2003)
  • Kerd ma lui (Born to Fight) (2004)
  • Tom-Yum-Goong (2005)
  • Mercury Man (2006)
  • Ong Bak 2 (2008)
  • Chocolate (2008)

Mwigizaji

hariri

Marejeo

hariri

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Panna Rittikrai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.