Pannipar Kamnueng

Mwamuzi wa soka wa Thailand

Pannipar Kamnueng (alizaliwa Januari 22, 1976) alikua mwamuzi wa mpira wa miguu wa nchini Thailand. [1]

Alichezesha kwa mara ya kwanza mechi ya kimataifa katika mashindano ya kombe la Dunia ya wanawake ya chini miaka 19 mwka 2004 kabla ya kwenda kuchezesha kombe la East Asian Cup mwaka 2005. [2] [3]

Kamnueng alichaguliwa kuwa wa mwamuzi fainali ya kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 2007 nchini China kati ya Brazil dhidi ya New Zealand ( 5 - 0). [4] [5]

Marejeo

hariri
  1. "Off The Ball: พัณณิภา คำนึง "Art on the Grass Floor"". 
  2. "Chủ nhà dội mưa bàn thắng vào lưới Singapore". vietnam.net. 2007-09-29. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2005-03-19. Iliwekwa mnamo 2007-09-30.
  3. "Tuyển Việt Nam 2 thắng đậm Xinhgapo". Vietnam News Agency. 2007-09-30. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-05-16. Iliwekwa mnamo 2007-09-30.
  4. "KAMNUENG Pannipar". FIFA Women's World Cup China 2007 - Referees. FIFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-21. Iliwekwa mnamo 2007-09-30.
  5. "Match Report: New Zealand - Brazil". FIFA Women's World Cup China 2007. FIFA. 2007-09-12. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-23. Iliwekwa mnamo 2007-09-30.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pannipar Kamnueng kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.