Papa Martin IV

Papa Martin IV (takriban 121028 Machi 1285) alikuwa Papa kuanzia tarehe 21 Februari 1281 hadi kifo chake.

Papa Martino IV.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Simon de Brie (au Brion).

Alimfuata Papa Nikolasi III akafuatwa na Papa Honori IV.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Martin IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.