Orodha ya mapapa

orodha ya makala za Wikimedia
(Elekezwa kutoka Orodha ya Mapapa)

Orodha hii inataja Mapapa wote wa Kanisa Katoliki. Jina rasmi la cheo hicho kwa Kilatini ni Episcopus Romanus, maana yake Askofu wa Roma.

Mapapa waliozikwa katika Basilika la Mt. Petro, Vatikano.
Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
Imani

Umoja wa Mungu
Utatu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu)
Umwilisho Maisha ya Yesu
Msalaba Ufufuko Kupaa
Historia ya Wokovu Ufunuo
Biblia Mapokeo Ualimu Dogma
Neema Dhambi Wokovu Sakramenti
Watakatifu Bikira Maria

Muundo

Papa: Fransisko
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Inawezekana kuwa Hermannus Contractus alikuwa mwanahistoria wa kwanza kuorodhesha Mapapa bila kuacha pengo. Orodha yake ilikwenda hadi mwaka wa 1049 ikimtaja Papa Leo IX kama Papa wa 154. Kulingana na hesabu hiyo, Papa wa sasa, Fransisko ni papa wa 268.

Hakuna orodha rasmi ya mapapa, ila kitabu cha Annuario Pontificio kinachotolewa na Vatikano kila mwaka kina orodha inayoangaliwa kama rasmi. Kulingana na kitabu hicho, Fransisko ni papa wa 266[1].

Orodha ya Mapapa

hariri

Kuanzia 30 hadi 250

hariri
Miaka ya upapa Jina rasmi Jina la Kilatini Jina la kuzaliwa Mahali pa kuzaliwa Maelezo
3064/67 Petro
Mtakatifu Petro
Petrus, Apostolus שמעון בן יונה (Shimon ben Yona)
Shimon Kipha, CΙΜΗΟΝ ΚΗΦΑC (Simeon Kephas - Simoni Mwamba - Simoni Petro)

Bethsaida, Galilaya Mtume wa Yesu ambaye alimpa funguo za Ufalme wa Mbinguni, kufuatana na Injili ya Mathayo 16:18-19. Alisulubiwa kichwa chini miguu juu; sikukuu yake ni 29 Juni
68(?) – 79(?) Linus
Mtakatifu Linus
Linus, Episcopus Romanus Linus Toscana (Italia ya Kati) Sikukuu yake ni 23 Septemba
80(?) – 92 Anacletus
(Cletus)
Mtakatifu Anacletus
Anacletus, Episcopus Romanus Anacletus Roma au Ugiriki Alifia dini; sikukuu yake ni 26 Aprili
9296/99 Klementi I
Mtakatifu Klemens I
Clemens, Episcopus Romanus   Roma Alifia dini; sikukuu yake ni 23 Novemba
96/99 – 108 Evaristus
(Aristus)
Mtakatifu Evaristus
Evaristus, Episcopus Romanus Aristus Mgiriki Inasemekana alifia dini (ila haijathibitishwa); sikukuu yake ni 26 Oktoba
108/109116/119 Alexander I
Mtakatifu Alexander
Alexander, Episcopus Romanus Alexander Roma Sikukuu yake ni 3 Mei
117/119 – 126/128 Sixtus I
Mtakatifu Sixtus
Xystus, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 6 Aprili
127/128 – 137/138 Telesfori
Mtakatifu Telesfori
Telesphorus, Episcopus Romanus   Ugiriki Sikukuu yake ni 5 Januari
138 – 142/146 Hyginus
Mtakatifu Hyginus
Hyginus, Episcopus Romanus   Ugiriki Inasemekana alifia dini (ila haijathibitishwa); sikukuu yake ni 11 Januari
142/146 – 157/161 Pius I
Mtakatifu Pius
Pius, Episcopus Romanus   Aquileia, Friuli, Italia Alifia dini kwa panga; sikukuu yake ni 11 Julai
157 – 163/168 Anicetus
Mtakatifu Anicetus
Anicetus, Episcopus Romanus   Emesa, Syria Inasemekana alifia dini (ila haijathibitishwa); sikukuu yake ni 17 Aprili
166 hivi– 170/177 Soter
Mtakatifu Soter
Soterius, Episcopus Romanus   Fondi, Lazio, Italia Inasemekana alifia dini; sikukuu yake ni 22 Aprili
171/177 – 185/193 Eleuteri
Mtakatifu Eleutherus
Eleutherius, Episcopus Romanus   Nikopoli, Epyrus Inasemekana alifia dini; sikukuu yake ni 6 Mei
186/189197/201 Viktor I
Mtakatifu Vikta
Victor, Episcopus Romanus   Afrika ya Kaskazini Sikukuu yake ni 28 Julai
198/201 – 217/218 Zefirino
Mtakatifu Zefirino
Zephyrinus, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 20 Desemba
218 – 222 Kalisti I
Mtakatifu Kalisti I
Callistus, Episcopus Romanus     Alifia dini; sikukuu yake ni 14 Oktoba
222 – 230 Urban I
Mtakatifu Urban I
Urbanus, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 25 Mei
21 Julai 23028 Septemba 235 Ponsyano
Mtakatifu Ponsyano
Pontianus, Episcopus Romanus   Roma Alifia dini; sikukuu yake ni 13 Agosti
21 Novemba 235 – 3 Januari 236 Anterus
Mtakatifu Anterus
Anterus, Episcopus Romanus   Ugiriki Sikukuu yake ni 3 Januari
10 Januari 23620 Januari 250 Fabiani
Mtakatifu Fabiani
Fabianus, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 20 Januari

Kuanzia 251 hadi 514

hariri
Miaka ya upapa Jina rasmi Jina la Kilatini Jina la kuzaliwa Mahali pa kuzaliwa Maelezo
Machi 251 – Juni 253 Korneli
Mtakatifu Korneli
Cornelius, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 16 Septemba
25 Juni 2535 Machi 254 Lucius I
Mtakatifu Lucius I
Lucius, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 4 Machi
12 Machi 2542 Agosti 257 Stefano I
Mtakatifu Stefano I
Stephanus, Episcopus Romanus   Roma Alifia dini kwa kukatwa kichwa; sikukuu yake ni 2 Agosti
30 Agosti 2576 Agosti 258 Sixtus II
Mtakatifu Sixtus II
Xystus Secundus, Episcopus Romanus   Ugiriki Alifia dini kwa kukatwa kichwa; sikukuu yake ni 7 Agosti
22 Julai 25926 Desemba 268 Dionysius
Mtakatifu Dionisi
Dionysius, Episcopus Romanus   labda Ugiriki Sikukuu yake ni 26 Desemba
5 Januari 26930 Desemba 274 Felix I
Mtakatifu Felisi I
Felix, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 30 Desemba
4 Januari 2757 Desemba 283 Eutikiani
Mtakatifu Eutikiani
Eutychianus, Episcopus Romanus   Luni Sikukuu yake ni 8 Desemba
17 Desemba 28322 Aprili 296 Kaio
Mtakatifu Kaio
Caius, Episcopus Romanus   Dalmatia Sikukuu yake ni 22 Aprili
30 Juni 296 – 25 Oktoba 304 Marcellinus
Mtakatifu Marselino
Marcellinus, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 26 Aprili
30616 Januari 309 Marcellus I
Mtakatifu Marcellus I
Marcellus, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 16 Januari
18 Aprili 30917 Agosti 309 hivi Eusebius
Mtakatifu Eusebius
Eusebius, Episcopus Romanus   Ugiriki Sikukuu yake ni 26 Septemba
2 Julai 31110 Januari 314 Miltiades
Melchiades
Mtakatifu Melkiades
Miltiades, Episcopus Romanus   Afrika Papa wakati wa Hati ya Milano kutolewa na Konstantino Mkuu (313 BK). Sikukuu yake ni 10 Januari
31 Januari 31431 Desemba 335 Silvesta I
Mtakatifu Silvesta I
Silvester, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 31 Desemba au 2 Januari
18 Januari 3367 Oktoba 336 Marko
Mtakatifu Marko
Marcus, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 7 Oktoba
6 Februari 33712 Aprili 352 Julius I
Mtakatifu Julius
Iulius, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 12 Aprili
17 Mei 35224 Septemba 366 Liberius Liberius, Episcopus Romanus   Roma Papa wa kwanza ambaye haheshimiwi kama mtakatifu
1 Oktoba 36611 Desemba 384 Damasus I
Mtakatifu Damasi I
Damasus, Episcopus Romanus   Idanha-a-Nova, Ureno Papa wa kwanza kutoka Ureno. Sikukuu yake ni 11 Desemba
Desemba 38426 Novemba 399 Siricius
Mtakatifu Sirisi
Papa Siricius, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 26 Novemba
27 Novemba 39919 Desemba 401 Anastasius I
Mtakatifu Anastasi I
Papa Anastasius, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 19 Desemba
22 Desemba 40112 Machi 417 Inosenti I
Mtakatifu Inosenti I
Papa Innocentius, Episcopus Romanus   Albano, Lazio Sikukuu yake ni 12 Machi au 28 Julai
18 Machi 41726 Desemba 418 Zosimus
Mtakatifu Zosimus
Papa Zosimus, Episcopus Romanus   Ugiriki Sikukuu yake ni 27 Desemba
28/29 Desemba 4184 Septemba 422 Bonifasi I
Mtakatifu Bonifasi I
Papa Bonifacius, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 4 Septemba
10 Septemba 42227 Julai 432 Selestini I
Mtakatifu Selestini I
Papa Coelestinus, Episcopus Romanus   Campania Sikukuu yake ni 6 Aprili au 8 Aprili
31 Julai 43219 Agosti 440 Sixtus III
Mtakatifu Sixtus III
Papa Xystus Tertius, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 28 Machi
29 Septemba 44010 Novemba 461 Leo I
Mtakatifu Leo I
Leo Mkuu
Papa Leo Magnus, Episcopus Romanus   Toscana Mwalimu wa Kanisa. Alimshawishi Attila kuacha uvamizi wa Italia; sikukuu yake ni 10 Novemba
19 Novemba 46129 Februari 468 Hilarius
Mtakatifu Hilarius
Papa Hilarius, Episcopus Romanus   Sardegna Sikukuu yake ni 17 Novemba au 28 Februari
3 Machi 46810 Machi 483 Simplicius
Mtakatifu Simplisi
Papa Simplicius, Episcopus Romanus   Tivoli, Italia Sikukuu yake ni 10 Machi
13 Machi 48325 Februari au 1 Machi 492 Felix III
Mtakatifu Felisi III
Papa Felix Tertius, Episcopus Romanus   Roma Pengine huhesabiwa kama Felix II. Sikukuu yake ni 1 Machi
1 Machi 49221 Novemba 496 Gelasius I
Mtakatifu Gelasius I
Papa Gelasius, Episcopus Romanus   Afrika Sikukuu yake ni 21 Novemba
24 Novemba 49619 Novemba 498 Anastasius II Papa Anastasius Secundus, Episcopus Romanus   Roma  
22 Novemba 49819 Julai 514 Simako
Mtakatifu Simako
Papa Symmachus, Episcopus Romanus   Sardinia Sikukuu yake ni 19 Julai

Kuanzia 514 hadi 752

hariri
Miaka ya upapa Jina rasmi Jina la Kilatini Jina la kuzaliwa Mahali pa kuzaliwa Maelezo
20 Julai 5146 Agosti 523 Hormisdas
Mtakatifu Hormisdas
Papa Hormisdas, Episcopus Romanus   Frosinone, Lazio, Italia Baba mzazi wa Papa Silverius; sikukuu yake ni 6 Agosti
13 Agosti 52318 Mei 526 Yohane I
Mtakatifu Yohane I
Papa Ioannes, Episcopus Romanus   Toscana, Italia ya Kati Sikukuu yake ni 18 Mei
12 Julai 526 – 20 au 22 Septemba 530 Felix IV
Mtakatifu Felisi IV
Papa Felix Quartus, Episcopus Romanus   Samnium (Italia Kusini) Mara nyingine huhesabiwa kama Felix III
20 au 22 Septemba 53017 Oktoba 532 Bonifasi II Papa Bonifacius Secundus, Episcopus Romanus   Roma; wazazi wake walikuwa Waostrogothi Sikukuu yake ni 22 Septemba
2 Januari 5338 Mei 535 Yohane II Papa Ioannes Secundus, Episcopus Romanus Mercurius Roma Papa wa kwanza asiyetumia jina lake la kuzaliwa. Sababu ilikuwa kwamba “Mercurius” ni jina la mungu wa Kiroma.
13 Mei 53522 Aprili 536 Agapiti I
Agapitus
Mtakatifu Agapiti I
Papa Agapetus, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 22 Aprili au 20 Septemba
8 Juni 53611 Novemba (?) 537 Silverius
Mtakatifu Silverius
Papa Silverius, Episcopus Romanus   Frosinone Mwana wa Papa Hormisdas, alipelekwa uhamishoni; sikukuu yake ni 20 Juni.
29 Machi 5377 Juni 555 Vigilius Papa Vigilius, Episcopus Romanus   Roma  
16 Aprili 5564 Machi 561 Pelagius I Papa Pelagius, Episcopus Romanus   Roma  
17 Julai 56113 Julai 574 Yohane III Papa Ioannes Tertius, Episcopus Romanus Catelinus    
2 Juni 57530 Julai 579 Benedikto I Papa Benedictus, Episcopus Romanus   Roma  
26 Novemba 5797 Februari 590 Pelagius II Papa Pelagius Secundus, Episcopus Romanus   Roma  
3 Septemba 59012 Machi 604 Gregori I, O.S.B. (?)
Mtakatifu Gregori I
Gregori Mkuu
Papa Gregorius Magnus, Episcopus Romanus   Roma Mwalimu wa Kanisa. Alikuwa Papa wa kwanza kupitia umonaki na kujiita "Servus servorum Dei" (yaani, Mtumishi wa watumishi wa Mungu) mbali ya "Pontifex Maximus". Sikukuu yake ni 3 Septemba
13 Septemba (?) 60422 Februari 606 Sabiniani
Papa Sabinianus, Episcopus Romanus   Blera, Viterbo, Italia  
19 Februari 60710 Novemba 607 Bonifasi III Papa Bonifacius Tertius, Episcopus Romanus   Roma  
25 Agosti 6088 Mei 615 Bonifasi IV, O.S.B.
Mtakatifu Bonifasi IV
Papa Bonifacius Quartus, Episcopus Romanus   Marsi, Italia Papa wa kwanza aliyetumia jina la Papa aliyemtangulia. Sikukuu yake ni 25 Mei
19 Oktoba 6158 Novemba 618 Adeodatus I Papa Adeodatus,
au Papa Deusdedit Episcopus Romanus
  Roma Mara nyingine huhesabiwa kama Deusdedit, halafu Papa Adeodatus II huitwa Papa Adeodatus bila namba
23 Desemba 61923 Oktoba 625 Papa Bonifasi V Papa Bonifacius Quintus, Episcopus Romanus   Napoli, Italia  
27 Oktoba 62512 Oktoba 638 Honorius I Papa Honorius, Episcopus Romanus   Campania  
Oktoba 638/28 Mei 6402 Agosti 640 Severinus Papa Severinus, Episcopus Romanus   Roma  
Agosti au 24 Desemba 64012 Oktoba 642 Yohane IV Papa Ioannes Quartus, Episcopus Romanus   Zadar, Dalmatia, siku hizi Kroatia  
12 Oktoba au 24 Novemba 64214 Mei 649 Theodoro I Papa Theodorus, Episcopus Romanus   Yerusalemu, Israeli/Palestina  
5 Julai 64916 Septemba 655 Martin I
Mtakatifu Martin I
Papa Martinus, Episcopus Romanus   Todi, Umbria Mfiadini. Sikukuu yake ni 13 Aprili
10 Agosti 6542 Juni 657 Eugenio I
Mtakatifu Eugenio I
Papa Eugenius, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 2 Juni
30 Julai 65727 Januari 672 Vitalian
Mtakatifu Vitalian
Papa Vitalianus, Episcopus Romanus   Segni, Lazio, Italia Sikukuu yake ni 27 Januari au 23 Julai
11 Aprili 67216 Juni 676 Adeodatus II, O.S.B. Papa Adeodatus Secundus, Episcopus Romanus   Roma Pengine huhesabiwa kama Papa Adeodatus (bila namba) ikiwa Papa Adeodatus I huitwa Papa Deusdedit
2 Novemba 67611 Aprili 678 Donus Papa Donus, Episcopus Romanus   Roma  
27 Juni 67810 Januari 681 Agatho
Mtakatifu Agatho
Papa Agatho, Episcopus Romanus   Sicilia Sikukuu yake ni 10 Januari au 20 Februari
681/6823 Julai 683 Leo II
Mtakatifu Leo II
Papa Leo Secundus, Episcopus Romanus   Sicilia Sikukuu yake ni 3 Julai
26 Juni 6848 Mei 685 Benedikto II
Mtakatifu Benedikto II
Papa Benedictus Secundus, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 7 Mei
23 Julai 6852 Agosti 686 Yohane V Papa Ioannes Quintus, Episcopus Romanus   Syria  
23 Oktoba 68621 Septemba 687 Conon Papa Conon, Episcopus Romanus      
15 Desemba 6877 Septemba 701 Sergius I
Mtakatifu Sergius I
Papa Sergius, Episcopus Romanus   Sicilia  
30 Oktoba 70111 Januari 705 Yohane VI
Mtakatifu Yohane VI
Papa Ioannes Sextus, Episcopus Romanus Sikukuu yake ni 8 Septemba Ugiriki  
1 Machi 70518 Oktoba 707 Yohane VII Papa Ioannes Septimus, Episcopus Romanus   Ugiriki
15 Januari 7084 Februari 708 Sisinnius Papa Sisinnius, Episcopus Romanus   Syria  
25 Machi 7089 Aprili 715 Konstantino Papa Constantinus, Episcopus Romanus   Syria Papa wa mwisho kutembelea Ugiriki hadi Yohane Paulo II mwaka 2001
19 Mei 71511 Februari 731 Gregori II
Mtakatifu Gregori II
Papa Gregorius Secundus, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 11 Februari
18 Machi 73128 Novemba 741 Gregori III Papa Gregorius Tertius, Episcopus Romanus   Syria
3 Desemba 74115 Machi 752 Zakaria
Mtakatifu Zakaria
Papa Zacharias, Episcopus Romanus   Ugiriki Sikukuu yake ni 15 Machi

Kuanzia 752 hadi 1003

hariri
Miaka ya upapa Jina rasmi Jina la Kilatini Jina la kuzaliwa Mahali pa kuzaliwa Maelezo
23 Machi 75225 Machi 752 Hakuwekwa wakfu kama Papa. Papa mteule Stefano Stephanus     Pengine huhesabiwa kama Stefano II. Alifariki siku tatu baada ya uchaguzi wake bila kuwekwa wakfu kama Papa. Aliingizwa katika orodha ya mapapa karne ya 16 lakini aliondolewa tena mwaka 1961. Kwa hiyo haangaliwi na Kanisa Katoliki kama papa.
26 Machi 75226 Aprili 757 Stefano II Papa Stephanus Secundus, Episcopus Romanus   Roma Mara nyingine huhesabiwa kama Stefano III
29 Mei (?) 75728 Juni 767 Paulo I
Mtakatifu Paulo I
Papa Paulus, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 28 Juni
1 Agosti (?) 76724 Januari 772 Stefano III Papa Stephanus Tertius, Episcopus Romanus   Sicilia Pengine huhesabiwa kama Stefano IV
1 Februari (?) 77225 Desemba 795 Adrian I Papa Hadrianus, Episcopus Romanus   Roma  
26 Desemba 79512 Juni 816 Leo III Papa Leo Tertius, Episcopus Romanus   Roma  
22 Juni 81624 Januari 817 Stefano IV Papa Stephanus Quartus, Episcopus Romanus   Roma Pengine huhesabiwa kama Stefano V
25 Januari 81711 Februari 824 Paskali I
Mtakatifu Paskali I
Papa Paschalis, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 11 Februari
8 Mei 824 – Agosti 827 Eugenio II Papa Eugenius Secundus, Episcopus Romanus   Roma  
Agosti 827 – Septemba 827 Valentino Papa Valentinus, Episcopus Romanus   Roma  
827/82825 Januari 844 Gregori IV Papa Gregorius Quartus, Episcopus Romanus   Roma  
25 Januari 84427 Januari 847 Sergius II Papa Sergius Secundus, Episcopus Romanus   Roma  
Januari 847 – 17 Julai 855 Leo IV, O.S.B.
Mtakatifu Leo IV
Papa Leo Quartus, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 17 Julai
85517 Aprili 858 Benedikto III Papa Benedictus Tertius, Episcopus Romanus   Roma  
24 Aprili 85813 Novemba 867 Nikolasi I
Mtakatifu Nikolasi I
Nikolasi Mkuu
Papa Nicolaus Magnus Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 13 Novemba
14 Desemba 86714 Desemba 872 Adrian II Papa Hadrianus Secundus, Episcopus Romanus   Roma  
14 Desemba 87216 Desemba 882 Yohane VIII Papa Ioannes Octavus, Episcopus Romanus   Roma  
16 Desemba 88215 Mei 884 Marinus I Papa Marinus, Episcopus Romanus   Gallese, Viterbo, Italia  
17 Mei 884 – Septemba 885 hivi Adrian III
Mtakatifu Adrian III
Papa Hadrianus Tertius, Episcopus Romanus   Roma Sikukuu yake ni 8 Julai
Septemba 885 – 14 Septemba 891 Stefano V Papa Stephanus Quintus, Episcopus Romanus   Roma Pengine huhesabiwa kama Stefano VI
6 Oktoba 8914 Aprili 896 Formosus Papa Formosus, Episcopus Romanus   Ostia
11 Aprili 89626 Aprili 896 Bonifasi VI Papa Bonifacius Sextus, Episcopus Romanus   Roma  
22 Mei 896 – Agosti 897 Stefano VI Papa Stephanus Sextus, Episcopus Romanus     Pengine huhesabiwa kama Stefano VII
Julai/Agosti 897 – Novemba 897 Romanus Papa Romanus, Episcopus Romanus   Gallese, Viterbo, Italia  
Desemba 897 – 897/898 Theodoro II Papa Theodorus Secundus, Episcopus Romanus   Roma;  
Januari 898 – Januari/Mei 900 Yohane IX, O.S.B. Papa Ioannes Nonus, Episcopus Romanus   Tivoli  
900 – 903 Benedikto IV Papa Benedictus Quartus, Episcopus Romanus   Roma  
Julai 903 – Septemba 903 Leo V Papa Leo Quintus, Episcopus Romanus   Ardea  
29 Januari 90414 Aprili 911 Sergius III Papa Sergius Tertius, Episcopus Romanus   Roma
911 – 913 Anastasius III Papa Anastasius Tertius, Episcopus Romanus   Roma  
Julai/Novemba 913 – Machi 914 Lando Papa Lando, Episcopus Romanus   Sabina, Italia  
Machi/Aprili 914 – Mei/Juni 928 Yohane X Papa Ioannes Decimus, Episcopus Romanus   Tossignano, Imola, Emilia-Romagna  
Mei/Juni 928 – Desemba 928/Januari 929 Leo VI Papa Leo Sextus, Episcopus Romanus   Roma  
Januari 929 – Februari 931 Stefano VII Papa Stephanus Septimus, Episcopus Romanus   Roma Pengine huhesabiwa kama Stefano VIII
Machi 931 – Januari 936 Yohane XI Papa Ioannes Undecimus, Episcopus Romanus   Roma  
Januari 93613 Julai 939 Leo VII, O.S.B. Papa Leo Septimus, Episcopus Romanus   Roma  
14 Julai 939 – Oktoba 942 Stefano VIII Papa Stephanus Octavus, Episcopus Romanus   Roma Pengine huhesabiwa kama Stefano IX
30 Oktoba 942 – Mei 946 Marinus II Papa Marinus Secundus, Episcopus Romanus   Roma  
10 Mei 946 – Desemba 955 Agapiti II Papa Agapetus Secundus, Episcopus Romanus   Roma  
16 Desemba 95514 Mei 964 Yohane XII Papa Ioannes Duodecimus, Episcopus Romanus Octavian  
Julai 9641 Machi 965 Leo VIII Papa Leo Octavus, Episcopus Romanus   Roma Aliteuliwa na Mfalme Mkuu Otto I mwaka 963 dhidi ya Yohane XII na Benedikto V. Alibaki papa pekee baada ya kujiuzulu kwa Benedikto V.
22 Mei 96423 Juni 964 Benedikto V Papa Benedictus Quintus, Episcopus Romanus   Roma Alichaguliwa na watu wa Roma baada ya kifo cha Yohane XII, wakati Leo VIII alipoteuliwa na Mfalme Mkuu Otto; mwaka 964 Benedikto alijiuzulu na Leo alibaki Papa.
1 Oktoba 9656 Septemba 972 Yohane XIII Papa Ioannes Tertius Decimus, Episcopus Romanus      
19 Januari 973 – Juni 974 Benedikto VI Papa Benedictus Sextus, Episcopus Romanus     Aliuawa
Oktoba 974 – 10 Julai 983 Benedikto VII Papa Benedictus Septimus, Episcopus Romanus      
Desemba 983 – 20 Agosti 984 Yohane XIV Papa Ioannes Quartus Decimus, Episcopus Romanus Pietro Campanora Pavia, Lombardia, Italia  
Agosti 985 – Machi 996 Yohane XV Papa Ioannes Quintus Decimus, Episcopus Romanus   Roma  
3 Mei 99618 Februari 999 Gregori V Papa Gregorius Quintus, Episcopus Romanus Bruno wa Carinthia   Papa wa kwanza kutoka Ujerumani
2 Aprili 99912 Mei 1003 Silvesta II Papa Silvester Secundus, Episcopus Romanus Gerbert d'Aurillac mkoa wa Auvergne, Ufaransa Papa wa kwanza kutoka Ufaransa

Kuanzia 1003 hadi 1254

hariri
Miaka ya upapa Jina rasmi Jina la Kilatini Jina la kuzaliwa Mahali pa kuzaliwa Maelezo
Juni 1003 – Desemba 1003 Yohane XVII Papa Ioannes Septimus Decimus, Episcopus Romanus Siccone Roma  
25 Desemba 1003 – Julai 1009 Yohane XVIII Papa Ioannes Duodevicesimus, Episcopus Romanus Giovanni Fasano; Phasianus Roma  
31 Julai 100912 Mei 1012 Sergius IV Papa Sergius Quartus, Episcopus Romanus Pietro Boccapecora Roma  
18 Mei 10129 Aprili 1024 Benedikto VIII Papa Benedictus Octavus, Episcopus Romanus Theophylactus II, wa watawala wa Tusculum Roma  
Aprili/Mei 1024 – 20 Oktoba 1032 Yohane XIX Papa Ioannes Undevicesimus, Episcopus Romanus Romanus, wa watawala wa Tusculum Roma  
1032 – 1044 Benedikto IX Papa Benedictus Nonus, Episcopus Romanus Theophylactus III wa watawala wa Tusculum Roma awamu ya kwanza; alijiuzulu kwa kupewa fedha
1045 Sylvester III Papa Silvester Tertius, Episcopus Romanus Yohane, Askofu wa Sabina Roma Uchaguzi wake haukuthibitishwa, kwa hiyo haangaliwi kama papa rasmi.
1045 – 1046 Benedikto IX Papa Benedictus Nonus, Episcopus Romanus Theophylactus III wa watawala wa Tusculum Roma awamu ya pili; aliondolewa katika Mkutano wa Sutri
Aprili/Mei 1045 – 20 Desemba 1046 Gregori VI Papa Gregorius Sextus, Episcopus Romanus Johannes Gratianus   Aliondolewa katika Mkutano wa Sutri
24 Desemba 10469 Oktoba 1047 Klementi II Papa Clemens Secundus, Episcopus Romanus Suidger Saxonia, Ujerumani  
Novemba 1047 – 1048 Benedikto IX Papa Benedictus Nonus, Episcopus Romanus Theophylactus III wa watawala wa Tusculum   awamu ya tatu; aliondolewa na Kanisa kabisa.
17 Julai 10489 Agosti 1048 Damasus II Papa Damasus Secundus, Episcopus Romanus Poppo Tirol, Austria  
12 Februari 104919 Aprili 1054 Leo IX
Mtakatifu Leo IX
Papa Leo Nonus, Episcopus Romanus Bruno, Lodi wa Dagsbourg Alsace, Ufaransa Sikukuu yake ni 19 Aprili
13 Aprili 105528 Julai 1057 Vikta II Papa Viktor Secundus, Episcopus Romanus Gebhard, Lodi wa Calw, Tollenstein, na Hirschberg Ujerumani  
2 Agosti 105729 Machi 1058 Stefano IX, O.S.B. Papa Stephanus Nonus, Episcopus Romanus Frederic de Lorraine; Frederik wa Lorraine   Pengine huhesabiwa kama Stefano X
6 Desemba 105827 Julai 1061 Nikolasi II Papa Nicolaus Secundus, Episcopus Romanus Gérard de Bourgogne; Gerard wa Burgundy    
30 Septemba 106121 Aprili 1073 Alexander II Papa Alexander Secundus, Episcopus Romanus Anselmo da Baggio Baggio, Milano, Italia  
22 Aprili 107325 Mei 1085 Gregori VII, O.S.B.
Mtakatifu Gregori VII
Papa Gregorius Septimus, Episcopus Romanus Hildebrand Soana, Toscana, Italia Aliweka mipaka ya matumizi ya neno "Papa" limaanishe Askofu wa Roma tu. Sikukuu yake ni 25 Mei
24 Mei 108616 Septemba 1087 Vikta III, O.S.B.
Mwenye heri Viktor III
Papa Viktor Tertius, Episcopus Romanus Desiderio; Desiderius; Dauferius Italia ya Kusini Sikukuu yake ni 16 Septemba
12 Machi 108829 Julai 1099 Urban II, O.S.B.
Mwenye heri Urban II
Papa Urbanus Secundus, Episcopus Romanus Odo wa Lagery Ufaransa Alianzisha Vita vya msalaba. Sikukuu yake ni 29 Julai
13 Agosti 109921 Januari 1118 Paskali II, O.S.B. Papa Paschalis Secundus, Episcopus Romanus Raniero Romagna, Italia  
24 Januari 111828 Januari 1119 Gelasius II, O.S.B. Papa Gelasius Secundus, Episcopus Romanus Giovanni Coniulo Gaeta, Lazio, Italia  
2 Februari 111913 Desemba 1124 Kalisti II Papa Callistus Secundus, Episcopus Romanus Guido, Lodi wa Burgundy Ufaransa Alifungua Mtaguso wa kwanza wa Laterano mwaka 1123
15 Desemba 112413 Februari 1130 Honorius II Papa Honorius Secundus, Episcopus Romanus Lamberto Scannabecchi Imola, Romagna, Italia  
14 Februari 113024 Septemba 1143 Inosenti II Papa Innocentius Secundus, Episcopus Romanus Gregorio Papareschi Roma, Italia Alianzisha Mtaguso wa pili wa Laterano, 1139
26 Septemba 11438 Machi 1144 Selestini II Papa Coelestinus Secundus, Episcopus Romanus Guido Città di Castello, Umbria, Italia
12 Machi 114415 Machi 1145 Lucius II Papa Lucius Secundus, Episcopus Romanus Gerardo Caccianemici dal Orso Bologna, Italia  
15 Februari 11458 Julai 1153 Eugenio III, O.Cist.
Mwenye heri Eugenio III
Papa Eugenius Tertius, Episcopus Romanus Bernardo Pignatelli Pisa, Toskana, Italia Sikukuu yake ni 8 Julai
8 Julai 11533 Desemba 1154 Anastasius IV Papa Anastasius Quartus, Episcopus Romanus Corrado Roma  
4 Desemba 11541 Septemba 1159 Adrian IV, Can.Reg. Papa Hadrianus Quartus, Episcopus Romanus Nicholas Breakspear Uingereza Papa pekee kutoka Uingereza
7 Septemba 115930 Agosti 1181 Alexander III Papa Alexander Tertius, Episcopus Romanus Rolando Bandinelli Siena, Toskana, Italia Alianzisha Mtaguso wa tatu wa Laterano, 1179
1 Septemba 118125 Novemba 1185 Lucius III Papa Lucius Tertius, Episcopus Romanus Ubaldo Allucingoli Lucca, Toskana, Italia  
25 Novemba 118519 Oktoba 1187 Urban III Papa Urbanus Tertius, Episcopus Romanus Uberto Crivelli Milano, Italia  
21 Oktoba 118717 Desemba 1187 Gregori VIII Papa Gregorius Octavus, Episcopus Romanus Alberto di Morra Benevento, Campania, Italia Alishauri kuanzisha Vita vya msalaba vya tatu
19 Desemba 118727 Machi 1191 Klementi III Papa Clemens Tertius, Episcopus Romanus Paulino Scolari Roma  
30 Machi 11918 Januari 1198 Selestini III Papa Coelestinus Tertius, Episcopus Romanus Giacinto Bobone Roma  
8 Januari 119816 Julai 1216 Inosenti III Papa Innocentius Tertius, Episcopus Romanus Lotario dei Conti di Segni Gavignano, Lazio, Italia Alianzisha Mtaguso wa nne wa Laterano, 1215
18 Julai 121618 Machi 1227 Honorius III Papa Honorius Tertius, Episcopus Romanus Cencio Savelli Roma  
19 Machi 122722 Agosti 1241 Gregori IX Papa Gregorius Nonus, Episcopus Romanus Ugolino dei Conti di Segni Anagni, Lazio, Italia  
25 Oktoba 124110 Novemba 1241 Selestini IV, Papa Coelestinus Quartus, Episcopus Romanus Goffredo Castiglioni Milano, Italia  
25 Juni 12437 Desemba 1254 Inosenti IV Papa Innocentius Quartus, Episcopus Romanus Sinibaldo Fieschi Genova, Italia Alifungua Mtaguso wa kwanza wa Lyon, 1245

Kuanzia 1254 hadi 1503

hariri
Miaka ya upapa Jina rasmi Jina la Kilatini Jina la kuzaliwa Mahali pa kuzaliwa Maelezo
12 Desemba 125425 Mei 1261 Alexander IV Papa Alexander Quartus, Episcopus Romanus Rinaldo dei Conti di Segni; Rinaldo Conti Anagni, Italia  
29 Agosti 12612 Oktoba 1264 Urban IV Papa Urbanus Quartus, Episcopus Romanus Jacques Pantaléon Troyes, Ufaransa  
5 Februari 126529 Novemba 1268 Klementi IV Papa Clemens Quartus, Episcopus Romanus Gui Faucoi le Gros Mtakatifu-Gilles, Ufaransa  
29 Novemba 12681 Septemba 1271   hakuna papa      
1 Septemba 127110 Januari 1276 Gregori X,
Mwenye heri Gregori X
Papa Gregorius Decimus, Episcopus Romanus Tebaldo Visconti Piacenza, Emilia-Romagna, Italia Alianzisha Mtaguso wa pili wa Lyon, 1274. Sikukuu yake ni 10 Januari.
21 Januari 127622 Juni 1276 Inosenti V, O.P.
Mwenye heri Inosenti V
Papa Innocentius Quintus, Episcopus Romanus Pierre de Tarentaise Savoy, Ufaransa Sikukuu yake ni 22 Juni.
11 Julai 127618 Agosti 1276 Adrian V Papa Hadrianus Quintus, Episcopus Romanus Ottobuono Fieschi Genova, Italia  
8 Septemba 127620 Mei 1277 Yohane XXI Papa Ioannes Vicesimus Primus, Episcopus Romanus Pedro Hispano Lisbon, Ureno Alikufa maabara yake ya kisayansi ilipoporomoka.
25 Novemba 127722 Agosti 1280 Nikolasi III, Papa Nicolaus Tertius, Episcopus Romanus Giovanni Gaetano Orsini Roma, Italia  
22 Februari 128128 Machi 1285 Martin IV Papa Martinus Quartus, Episcopus Romanus Simon de Brion Touraine, Ufaransa  
2 Aprili 12853 Aprili 1287 Honorius IV Papa Honorius Quartus, Episcopus Romanus Giacomo Savelli Roma, Italia  
22 Februari 12884 Aprili 1292 Nikolasi IV, O.F.M. Papa Nicolaus Quartus, Episcopus Romanus Girolamo Masci Ascoli Piceno, Marche, Italia  
4 Aprili 12925 Julai 1294   hakuna papa      
5 Julai 129413 Desemba 1294 Selestini V, O.S.B.
Mtakatifu Selestini V
Papa Coelestinus Quintus, Episcopus Romanus Pietro da Morrone Molise, Italia Alijiuzulu. Sikukuu yake ni 22 Juni.
24 Desemba 129411 Oktoba 1303 Bonifasi VIII Papa Bonifacius Octavus, Episcopus Romanus Benedetto Caetani Anagni, Italia  
22 Oktoba 13037 Julai 1304 Benedikto XI, O.P.
Mwenye heri Benedikto XI
Papa Benedictus Undecimus, Episcopus Romanus Niccolò Boccasini Treviso, Italia Sikukuu yake ni 7 Julai.
5 Juni 130520 Aprili 1314 Klementi V Papa Clemens Quintus, Episcopus Romanus Bertrand de Got Bordeaux, Ufaransa Upapa wa Avignon. Alilazimishwa kufuta Shirika la Hekalu kwenye Mtaguso wa Vienne, 1311-1312.
20 Aprili 13147 Agosti 1316   hakuna papa      
7 Agosti 13164 Desemba 1334 Yohane XXII Papa Ioannes Vicesimus Secundus, Episcopus Romanus Jacques d'Euse; Jacques Duèse Cahors, Ufaransa Upapa wa Avignon
20 Desemba 133425 Aprili 1342 Benedikto XII, O.Cist. Papa Benedictus Duodecimus, Episcopus Romanus Jacques Fournier Saverdun, Ufaransa Upapa wa Avignon
7 Mei 13426 Desemba 1352 Klementi VI Papa Clemens Sextus, Episcopus Romanus Pierre Roger Limoges, Ufaransa Upapa wa Avignon
18 Desemba 135212 Septemba 1362 Inosenti VI Papa Innocentius Sextus, Episcopus Romanus Étienne Aubert; Stefano Aubert Beyssac, Ufaransa Upapa wa Avignon
28 Septemba 136219 Desemba 1370 Urban V, O.S.B.
Mwenye heri Urban V
Papa Urbanus Quintus, Episcopus Guillaume Grimoard; Guillaume de Grimoard Languedoc, Ufaransa Upapa wa Avignon. Sikukuu yake ni 19 Desemba.
30 Desemba 137026 Machi 1378 Gregori XI Papa Gregorius Undecimus, Episcopus Romanus Pierre Roger de Beaufort Limoges, Ufaransa Upapa wa Avignon; alirudi Roma
8 Aprili 137815 Oktoba 1389 Urban VI Papa Urbanus Sextus, Episcopus Romanus Bartolomeo Prignano Napoli, Italia Farakano la Magharibi
2 Novemba 13891 Oktoba 1404 Boniface IX Papa Bonifacius Nonus, Episcopus Romanus Pietro Tomacelli Napoli, Italia Farakano la Magharibi
17 Oktoba 14046 Novemba 1406 Inosenti VII Papa Innocentius Septimus, Episcopus Romanus Cosimo Gentile Migliorati Abruzzo, Italia Farakano la Magharibi
30 Novemba 14064 Julai 1415 Gregori XII Papa Gregorius Duodecimus, Episcopus Romanus Angelo Correr Venice, Italia Farakano la Magharibi; alijiuzulu kwenye Mtaguso wa Konstanz.
4 Julai 141511 Novemba 1417   hakuna papa      
11 Novemba 141720 Februari 1431 Martin V Papa Martinus Quintus, Episcopus Romanus Oddone Colonna Roma, Italia Alianzisha Mtaguso wa Basel, 1431
3 Machi 143123 Februari 1447 Eugenio IV, Can.Reg. Papa Eugenius Quartus, Episcopus Romanus Gabriele Condulmer Venice, Italia Alimvisha taji Mfalme Mkuu Sigismund mjini Roma mwaka 1433.
6 Machi 144724 Machi 1455 Nikolasi V, Papa Nicolaus Quintus, Episcopus Romanus Tommaso Parentucelli Sarzana, Liguria, Italia Alimvisha taji Mfalme Mkuu Frederick III mjini Roma mwaka 1452.
8 Aprili 14556 Agosti 1458 Kalisti III Papa Callistus Tertius, Episcopus Romanus Alfonso de Borgia Xàtiva, Valencia, Hispania Papa wa kwanza kutoka Hispania
19 Agosti 145815 Agosti 1464 Pius II Papa Pius Secundus, Episcopus Romanus Enea Silvio Piccolomini Siena, Italia  
30 Agosti 146426 Julai 1471 Paulo II Papa Paulus Secundus, Episcopus Romanus Pietro Barbo Venice, Italia
9 Agosti 147112 Agosti 1484 Sixtus IV, O.F.M. Papa Xystus Quartus, Episcopus Romanus Francesco della Rovere Savona, Italia Aliagiza Kikanisa cha Sistina
29 Agosti 148425 Julai 1492 Inosenti VIII Papa Innocentius Octavus, Episcopus Romanus Giovanni Battista Cybo Genova, Italia
11 Agosti 149218 Agosti 1503 Alexander VI Papa Alexander Sextus, Episcopus Romanus Rodrigo de Lanzòl-Borgia Xàtiva, Valencia, Hispania Aligawa dunia yote isiyo Ulaya kati ya Hispania na Ureno mwaka 1493.

Kuanzia 1503 hadi 1758

hariri
Miaka ya upapa Picha Jina rasmi Jina la Kilatini Jina la kuzaliwa Mahali pa kuzaliwa Maelezo
22 Septemba 150318 Oktoba 1503   Pius III Papa Pius Tertius, Episcopus Romanus Francesco Todeschini Piccolomini Siena, Toscana, Italia
31 Oktoba 150321 Februari 1513   Julius II, Papa Iulius Secundus, Episcopus Romanus Giuliano della Rovere Albissola, Savona, Italia Mpwa wa Sixtus IV; aliitisha Mtaguso wa tano wa Laterano, 1512.
9 Machi 15131 Desemba 1521   Leo X Papa Leo Decimus, Episcopus Romanus Giovanni di Lorenzo de' Medici Florence, Italia Mwana wa Lorenzo de Medici, alimtenga Martin Luther na Kanisa.
9 Januari 152214 Septemba 1523   Adrian VI Papa Hadrianus Sextus, Episcopus Romanus Adriaan Floriszoon Boeyens Utrecht, Dola la Ujerumani (siku hizi ni Uholanzi) Papa pekee kutoka Uholanzi na wa mwisho asiye Mwitalia hadi Yohane Paulo II (mwaka 1978). Alikuwa mwalimu wa Kaisari Karoli V
26 Novemba 152325 Septemba 1534   Klementi VII Papa Clemens Septimus, Episcopus Romanus Giulio di Giuliano de' Medici Florence, Italia
13 Oktoba 153410 Novemba 1549   Paulo III Papa Paulus Tertius, Episcopus Romanus Alessandro Farnese Canino, Viterbo, Italia Alifungua Mtaguso wa Trento mwaka 1545.
29 Novemba 154929 Machi 1555   Julius III Papa Iulius Tertius, Episcopus Romanus Giovanni Maria Ciocchi del Monte Roma, Italia  
9 Aprili 155530 Aprili au 1 Mei 1555   Marcello II Papa Marcellus Secundus, Episcopus Romanus Marcello Cervini Montefano, Macerata, Marche, Italia
23 Mei 155518 Agosti 1559   Paulo IV Papa Paulus Quartus, Episcopus Romanus Giovanni Pietro Carafa Capriglia, Campania, Italia  
26 Desemba 15599 Desemba 1565   Pius IV Papa Pius Quartus, Episcopus Romanus Giovanni Angelo Medici Milano, Italia Alifungua upya Mtaguso wa Trento 1562, na kuumaliza mwaka 1563
7 Januari 15661 Mei 1572   Pius V, O.P.
Mtakatifu Pius V
Papa Pius Quintus, Episcopus Romanus Michele Ghislieri Bosco, Alessandria, Italia Alimtenga Elizabeth I wa Uingereza na Kanisa, 1570. Sikukuu yake ni 30 Aprili.
13 Mei 157210 Aprili 1585   Gregori XIII Papa Gregorius Tertius Decimus, Episcopus Romanus Ugo Boncompagni Bologna, Italia Alibuni Kalenda ya Gregori, 1582
24 Aprili 158527 Agosti 1590   Sixtus V, O.F.M. Conv. Papa Xystus Quintus, Episcopus Romanus Felice Peretti Grottammare, Marche, Italia  
15 Septemba 159027 Septemba 1590   Urban VII Papa Urbanus Septimus, Episcopus Romanus Giovanni Battista Castagna Roma, Italia  
5 Desemba 1590 – 15 /16 Oktoba 1591   Gregori XIV Papa Gregorius Quartus Decimus, Episcopus Romanus Niccolò Sfondrati Cremona, Lombardia, Italia  
29 Oktoba 159130 Desemba 1591   Inosenti IX Papa Innocentius Nonus, Episcopus Romanus Giovanni Antonio Facchinetti Bologna, Italia  
30 Januari 15923 Machi 1605   Klementi VIII Papa Clemens Octavus, Episcopus Romanus Ippolito Aldobrandini Fano, Marche, Italia  
1 Aprili 160527 Aprili 1605   Leo XI Papa Leo Undecimus, Episcopus Romanus Alessandro Ottaviano de' Medici Florence, Italia  
16 Mei 160528 Januari 1621   Paulo V Papa Paulus Quintus, Episcopus Romanus Camillo Borghese Roma, Italia  
9 Februari 16218 Julai 1623   Gregori XV Papa Gregorius Quintus Decimus, Episcopus Romanus Alessandro Ludovisi Bologna, Italia  
6 Agosti 162329 Julai 1644   Urban VIII Papa Urbanus Octavus, Episcopus Romanus Maffeo Barberini Florence, Italia
15 Septemba 16447 Januari 1655   Inosenti X Papa Innocentius Decimus, Episcopus Romanus Giovanni Battista Pamphilj Roma, Italia  
7 Aprili 165522 Mei 1667   Alexander VII Papa Alexander Septimus, Episcopus Romanus Fabio Chigi Siena, Toscana, Italia  
20 Juni 16679 Desemba 1669   Klementi IX Papa Clemens Nonus, Episcopus Romanus Giulio Rospigliosi Pistoia, Toscana, Italia  
29 Aprili 167022 Julai 1676   Klementi X Papa Clemens Decimus, Episcopus Romanus Emilio Altieri Roma, Italia  
21 Septemba 1676 – 11/12 Agosti 1689   Inosenti XI
Mwenye heri Innocent XI
Papa Innocentius Undecimus, Episcopus Romanus Benedetto Odescalchi Como, Lombardia, Italia Sikukuu yake ni 22 Agosti.
6 Oktoba 16891 Februari 1691   Alexander VIII Papa Alexander Octavus, Episcopus Romanus Pietro Vito Ottoboni Padova, Veneto, Italia  
12 Julai 169127 Septemba 1700   Inosenti XII Papa Innocentius Duodecimus, Episcopus Romanus Antonio Pignatelli Spinazzola, Puglia, Italia  
23 Novemba 170019 Machi 1721   Klementi XI Papa Clemens Undecimus, Episcopus Romanus Giovanni Francesco Albani Urbino, Marche, Italia  
8 Mei 17217 Machi 1724   Inosenti XIII Papa Innocentius Tertius Decimus, Episcopus Romanus Michelangelo de’ Conti; Mikael Angelo Conti Poli, Lazio, Italia  
29 Mei 172421 Februari 1730   Benedikto XIII, O.P. Papa Benedictus Tertius Decimus, Episcopus Romanus Pierfrancesco Orsini Gravina, Puglia, Italia  
12 Julai 17306 Februari 1740   Klementi XII Papa Clemens Duodecimus, Episcopus Romanus Lorenzo Corsini Florence, Italia  
17 Agosti 17403 Mei 1758   Benedikto XIV Papa Benedictus Quartus Decimus, Episcopus Romanus Prospero Lorenzo Lambertini Bologna, Italia  

Kuanzia 1758 hadi 2005

hariri
Miaka ya upapa Picha Jina rasmi Jina la Kilatini Jina la kuzaliwa Mahali pa kuzaliwa Maelezo
6 Julai 17582 Februari 1769   Klementi XIII Papa Clemens Tertius Decimus, Episcopus Romanus Carlo della Torre Rezzonico Venice, Veneto, Italia  
19 Mei 176922 Septemba 1774   Klementi XIV, O.F.M. Conv. Papa Clemens Quartus Decimus, Episcopus Romanus Giovanni Vincenzo Antonio Ganganelli Sant'Arcangelo di Romagna, Italia Alifuta Shirika la Yesu.
15 Februari 177529 Agosti 1799   Pius VI Papa Pius Sextus, Episcopus Romanus Giovanni Angelo Braschi Cesena, Italia Alilaumu Mapinduzi ya Ufaransa na kufukuzwa na jeshi la Kifaransa kuanzia 1798 hadi kifo chake.
14 Machi 180020 Agosti 1823   Pius VII, O.S.B. Papa Pius Septimus, Episcopus Romanus Barnaba Chiaramonti Cesena, Italia Alifukuzwa na jeshi la Kifaransa kutoka 1809 hadi 1814.
28 Septemba 182310 Februari 1829   Leo XII Papa Leo Duodecimus, Episcopus Romanus Annibale Sermattei della Genga Fabriano, Marche, Italia  
31 Machi 18291 Desemba 1830   Pius VIII Papa Pius Octavus, Episcopus Romanus Francesco Saverio Castiglioni Cingoli, Marche, Italia  
2 Februari 18311 Juni 1846   Gregori XVI, O.S.B. Cam. Papa Gregorius Sextus Decimus, Episcopus Romanus Bartolomeo Alberto Cappellari Belluno, Veneto, Italia
16 Juni 18467 Februari 1878   Pius IX, '
Mwenye heri Pius IX
Papa Pius Nonus, Episcopus Romanus Giovanni Maria Mastai-Ferretti Senigallia, Marche, Italia Alifungua Mtaguso wa kwanza wa Vatikano. Sikukuu yake ni 22 Juni.
20 Februari 187820 Julai 1903   Leo XIII Papa Leo Tertius Decimus, Episcopus Romanus Gioacchino Vincenzo Raffaele Luigi Pecci Carpineto Romano, Lazio, Italia
4 Agosti 190320 Agosti 1914   Pius X
Mtakatifu Pius X
Papa Pius Decimus, Episcopus Romanus Giuseppe Melchiorre Sarto Riese, Treviso, Veneto, Italia Sikukuu yake ni 21 Agosti.
3 Septemba 191422 Januari 1922   Benedikto XV Papa Benedictus Quintus Decimus, Episcopus Romanus Giacomo Della Chiesa Genova, Italia
6 Februari 192210 Februari 1939   Pius XI Papa Pius Undecimus, Episcopus Romanus Achille Ambrogio Damiano Ratti Desio, Milan, Italia Aliutia sahihi Mkataba wa Laterano na Italia ulioanzisha Vatikani kuwa nchi inayojitegemea.
2 Machi 19399 Oktoba 1958   Pius XII
Mtumishi wa Mungu Pius XII
Papa Pius Duodecimus, Episcopus Romanus Eugenio Maria Giuseppe Giovanni Pacelli Roma, Italia
28 Oktoba 19583 Juni 1963   Yohane XXIII
Mtakatifu Yohane XXIII
Papa Ioannes Vicesimus Tertius, Episcopus Romanus Angelo Giuseppe Roncalli Sotto il Monte, Bergamo, Italia Alifungua Mtaguso wa pili wa Vatikano; pengine huitwa "Papa Mwema". Sikukuu yake ni 11 0ktoba.
21 Juni 19636 Agosti 1978   Paulo VI
Mwenye heri Paulo VI
Papa Paulus Sextus, Episcopus Romanus Giovanni Battista Enrico Antonio Maria Montini Concesio, Brescia, Italia Papa wa mwisho aliyevishwa Tiara. Sikukuu yake ni 26 Septemba.
26 Agosti 197828 Septemba 1978   Yohane Paulo I
Mtumishi wa Mungu Yohane Paulo I
Papa Ioannes Paulus Primus, Episcopus Romanus Albino Luciani Forno di Canale (sasa Canale d'Agordo), Veneto, Italia Papa wa kwanza aliyetumia majina mawili.
16 Oktoba 19782 Aprili 2005   Yohane Paulo II
Mtakatifu Yohane Paulo II
Papa Ioannes Paulus Secundus, Episcopus Romanus Karol Józef Wojtyła Wadowice, Poland Papa wa kwanza kutoka Poland na wa kwanza asiye Mwitalia baada ya miaka 455. Sikukuu yake ni 22 Oktoba.

Tangu 2005 hadi leo

hariri
Miaka ya upapa Picha Jina rasmi Jina la Kilatini Jina la kuzaliwa Mahali pa kuzaliwa Maelezo
19 Aprili 200528 Februari 2013   Benedikto XVI Papa Benedictus Sextus Decimus, Episcopus Romanus Joseph Alois Ratzinger Marktl am Inn, Bavaria, Ujerumani Papa wa kwanza kutoka Ujerumani tangu Papa Adrian VI mwaka 1523. (Ingawa Adrian VI alizungumza Kijerumani na kuzaliwa ndani ya Dola la Ujerumani, mahali pake pa kuzaliwa siku hizi ni sehemu ya Uholanzi; papa Mjerumani aliyemtangulia alikuwa Stefano IX.) Aling'atuka.
13 Machi 2013 – hivi sasa   Fransisko, S.I. Papa Franciscus, S.I.Episcopus Romanus Jorge Mario Bergoglio Buenos Aires, Argentina Papa wa kwanza kutoka Amerika

Marejeo

hariri
  • Yohane N.D. Kelly, The Oxford Dictionary of Popes, Oxford University Press, 1986.
  • AA.VV., Enciclopedia dei Papi, Istituto dell'Enciclopedia italiana, 2000.
  • Pontificia Amministrazione della Patriarcale Basilica di San Paolo, I Papi. Venti secoli di storia, Libreria Editrice Vaticana, 2002.

Viungo vya nje

hariri
  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father