Papa Martin IV

(Elekezwa kutoka Papa Martino IV)

Papa Martin IV (takriban 121029 Machi 1285) alikuwa Papa kuanzia tarehe 22 Februari/23 Machi 1281 hadi kifo chake[1]. Alitokea Ufaransa[2].

Papa Martino IV.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Simon de Brie (au Brion au Mainpincien).

Alimfuata Papa Nikolasi III akafuatwa na Papa Honori IV.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Martin IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.