Papa Sabinian

Papa Sabinian alikuwa Papa kuanzia tarehe 13 Septemba 604 hadi kifo chake tarehe 22 Februari 606.

Papa Sabiniano.

Alimfuata Papa Gregori I akafuatwa na Papa Boniface III.

MarejeoEdit

  • Duffy, Eamon. Saints and Sinners: A History of the Popes, Yale University Press, 2001, p. 72–73. ISBN 0-300-09165-6
  • Ekonomou, Andrew J. 2007. Byzantine Rome and the Greek Popes: Eastern influences on Rome and the papacy from Gregory the Great to Zacharias, A.D. 590–752. Lexington Books.
  • Maxwell-Stuart, P. G. Chronicle of the Popes: The Reign-by-Reign Record of the Papacy from St. Peter to the Present, Thames & Hudson, 2002, p. 54. ISBN 0-500-01798-0.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Sabinian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.