Patience Avre (alizaliwa 10 Juni 1976) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa zamani wa nchini Nigeria ambaye alicheza timu ya taifa ya Nigeria katika Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA la 1995, Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA la 1999 na Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA mwaka 2003 pamoja na michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya 2000. [1][2]

Patience Avre
Amezaliwa 10 Juni 1976
Nigeria
Kazi yake Mwanasoka

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Patience Avre kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.