Paulo, Tata na wanao
Paulo, Tata na wanao Sabiniani, Masimo, Rufo na Eujeni (walifariki Damasko, Syria) walikuwa Wakristo ambao waliteswa kikatili na hatimaye kuuawa kwa imani yao[1].
Tangu kale Wakatoliki na Waorthodoksi wanawaheshimu kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 25 Septemba[2].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |