Paulo wa Tammah (alifariki 17 Oktoba 415) alikuwa mmonaki aliyeishi kama mkaapweke kwenye milima ya Ansena, Misri.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakopti kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.