Petro VII wa Aleksandria

Petro VII wa Aleksandria (alifariki 15 Aprili 1852) kuanzia mwaka 1809 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 109 wa Kanisa la Kikopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.

Picha yake.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Aprili[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.