Open main menu

Petro Zhang Banniu (Tuling 1850 hivi - Taiyuan 9 Julai 1900) alikuwa baba wa nyumbani Mfransisko wa Utawa wa Tatu aliyefia dini nchini mwake China.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini pamoja na wenzake 119.

Sikukuu yao huadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Julai.

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Petro Zhang Banniu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.